Ubora na mapungufu ya "First eleven" ya SIMBA Mnyama

Huyo sembo hawezi kukujibu chochote.Simba si kwamba ipo vuzuri,ni mbovu bado tena sana tu.Yanga wapo vizuri hata mpira wao unavutia kuangalia kuliko wa Simba.

Mpira wa Ndala haujawahi kuvutia hata siku moja.. Ni butua butua.. Kama butua butua ndo zinakufurahisha, basi sawa.
 
Mechi ya misri na tz hukumuona shabalalashaban alalamike au ulimuona mwinyi haji unaposema waarabu ni wa wapi
 
Mpira wa Ndala haujawahi kuvutia hata siku moja.. Ni butua butua.. Kama butua butua ndo zinakufurahisha, basi sawa.
Mpira wa Yanga una kasi na unaleta pressure pande zote na huwa hawaridhiki kufunga sio Simba goli mbili tu wanaanza mambo yao ya vyenga ambazo hata hazipendezi.Mimi ni Simba damu ila mpira wa Simba hauvutii hata kidogo.
 
Hii Simba ya mwaka huu bora ya mwaka jana,kinachowasaidia kwa sasa ni kushuka kwa viwango vya wapinzani wao hasa Yanga na Azam.
mkuu umenena vema...
na kingine wana morali kubwa.
 
Mpira wa Ndala haujawahi kuvutia hata siku moja.. Ni butua butua.. Kama butua butua ndo zinakufurahisha, basi sawa.
Umeshatoka eneo korofi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…