Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo sembo hawezi kukujibu chochote.Simba si kwamba ipo vuzuri,ni mbovu bado tena sana tu.Yanga wapo vizuri hata mpira wao unavutia kuangalia kuliko wa Simba.
SimbaWho is Cat then!
Mpira wa Yanga una kasi na unaleta pressure pande zote na huwa hawaridhiki kufunga sio Simba goli mbili tu wanaanza mambo yao ya vyenga ambazo hata hazipendezi.Mimi ni Simba damu ila mpira wa Simba hauvutii hata kidogo.Mpira wa Ndala haujawahi kuvutia hata siku moja.. Ni butua butua.. Kama butua butua ndo zinakufurahisha, basi sawa.
mkuu umenena vema...Hii Simba ya mwaka huu bora ya mwaka jana,kinachowasaidia kwa sasa ni kushuka kwa viwango vya wapinzani wao hasa Yanga na Azam.
Umeshatoka eneo korofi ?Mpira wa Ndala haujawahi kuvutia hata siku moja.. Ni butua butua.. Kama butua butua ndo zinakufurahisha, basi sawa.
Ndio Mkuu.Umeshatoka eneo korofi ?
Yanga a.k.a Timu ya Wananchi wa Tanzania na Fahari ya Afrika.Who is Cat then!