Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetumia Mark X kwa safari mbili za mkoa. Ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida sana, around kilometa 10 mpaka 12 kwa lita kutegemea na umri wa gari. Nililotumia limekuwa imported mwaka jana mwanzoni. Njiani limetulia sana. Khs spare sijajua kwa kwelinataka nichukue Toyota mark x VP ubora wake ktk matumizi ya mjini kuanzia mafuta na spare gharama ipoje , matumizi ya mafuta ulaji wake?
Asante mkuuNimetumia Mark X kwa safari mbili za mkoa. Ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida sana, around kilometa 10 mpaka 12 kwa lita kutegemea na umri wa gari. Nililotumia limekuwa imported mwaka jana mwanzoni. Njiani limetulia sana. Khs spare sijajua kwa kweli
Ila Mark X zinataka adabu sana inapokimbia njiani kuanzia 120 kph. Zina speed ni balaa na zina pulling kubwa.
Speed ya 120k/h haitaki adabu sana ila speed hiyo inataka adabu kwa vitz paso duet..mark x stability yake nzuri barabarani.Ila Mark X zinataka adabu sana inapokimbia njiani kuanzia 120 kph. Zina speed ni balaa na zina pulling kubwa.
Ki vip Mkuu fafanuaMark X ni aina ya gari ambayo ukiinunua ni lazima ufe nayo au uiuze chini ya mlioni 5
Shukrani Mkuu hii gari naikubali sana ila sina uzoefu nayo.Mark X ni chuma limetulis balaa.
I recommend uchukue hyo. I have one
Mark x nadhani fuel tank huwa ni 70 litres hapa ukikadiria ni kama ulitumia 45 litres hiv kama cjakosea iko vzr sanaApa nilitoka nayo dar ful tank kwenda mtwara nikafika gauge ipo apoView attachment 1557633View attachment 1557634
Hapo fuel consumption ilikuwa ni around 12 km per litres which iko poa sana na ukizingatia kwamba mark x iko comfortable unaenjoy safari.Apa nilitoka nayo dar ful tank kwenda mtwara nikafika gauge ipo apoView attachment 1557633View attachment 1557634
Ndyo mkuu tank ni lita 70 na unachosema ni ukwel kbsa mashine ipo vzr snaaa ndo mana nasema kwa high way hii chuma iko powa balaaaa na apo ni ful kipupwe cjawai shusha kioo tangu nmeichukuaMark x nadhani fuel tank huwa ni 70 litres hapa ukikadiria ni kama ulitumia 45 litres hiv kama cjakosea iko vzr sana
Mkuu mtu akiskia v6 na cc 2500 bc anaona hili ni jini kumbe ni kawaida snaa na matumiz yake ni easy snaaaHapo fuel consumption ilikuwa ni around 12 km per litres which iko poa sana na ukizingatia kwamba mark x iko comfortable unaenjoy safari.
Sema watu wanzaiogopa sana mark x,brevis na crown [emoji28]
Asanteeee sana MkuuApa nilitoka nayo dar ful tank kwenda mtwara nikafika gauge ipo apoView attachment 1557633View attachment 1557634
Maelezo general kama haya ndio yanayoshusha hadhi ya jukwaa hili. Mark X ni Toyota kama zilivyo nyingine, kuna sababu gani ya kuidhalilisha?Mark X ni aina ya gari ambayo ukiinunua ni lazima ufe nayo au uiuze chini ya mlioni 5