ubora na upatikanaji wa spare kwa Toyota mark X

ubora na upatikanaji wa spare kwa Toyota mark X

abynstv

Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
10
Reaction score
6
Nataka nichukue Toyota mark x VP ubora wake ktk matumizi ya mjini kuanzia mafuta na spare gharama ipoje , matumizi ya mafuta ulaji wake?

1599051847689.png
 
nataka nichukue Toyota mark x VP ubora wake ktk matumizi ya mjini kuanzia mafuta na spare gharama ipoje , matumizi ya mafuta ulaji wake?
Nimetumia Mark X kwa safari mbili za mkoa. Ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida sana, around kilometa 10 mpaka 12 kwa lita kutegemea na umri wa gari. Nililotumia limekuwa imported mwaka jana mwanzoni. Njiani limetulia sana. Khs spare sijajua kwa kweli
 
Nimetumia Mark X kwa safari mbili za mkoa. Ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida sana, around kilometa 10 mpaka 12 kwa lita kutegemea na umri wa gari. Nililotumia limekuwa imported mwaka jana mwanzoni. Njiani limetulia sana. Khs spare sijajua kwa kweli
Asante mkuu

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Sp
Ila Mark X zinataka adabu sana inapokimbia njiani kuanzia 120 kph. Zina speed ni balaa na zina pulling kubwa.
Speed ya 120k/h haitaki adabu sana ila speed hiyo inataka adabu kwa vitz paso duet..mark x stability yake nzuri barabarani.
 
Wadau wa mark x mnaizungumziaje hii machine?
 
Kiongoz hii gar nmeanza tumia mwaka huu ni moja ya gari nzur snaa ya chin nguvu ya kutosha na stabilty kubwa mafuta inakula vzr huwez amin km ni cc 2500 ondoa hofu chukua ila km ni mtu wa safar itakufaa snaa mjin si powa maana kila baada ya dk2 break na foleni hutaenjoy lkn high way ndo utaiskia mashine inavyo vumaa
 
Mark x nadhani fuel tank huwa ni 70 litres hapa ukikadiria ni kama ulitumia 45 litres hiv kama cjakosea iko vzr sana
Ndyo mkuu tank ni lita 70 na unachosema ni ukwel kbsa mashine ipo vzr snaaa ndo mana nasema kwa high way hii chuma iko powa balaaaa na apo ni ful kipupwe cjawai shusha kioo tangu nmeichukua
 
Hapo fuel consumption ilikuwa ni around 12 km per litres which iko poa sana na ukizingatia kwamba mark x iko comfortable unaenjoy safari.
Sema watu wanzaiogopa sana mark x,brevis na crown [emoji28]
Mkuu mtu akiskia v6 na cc 2500 bc anaona hili ni jini kumbe ni kawaida snaa na matumiz yake ni easy snaaa
 
Back
Top Bottom