stevemdonya
New Member
- Jul 3, 2011
- 4
- 0
huelew lipi?ni kwamba NACTE wamesajili st.joseph bila kufatilia ubora wao hata wakienda kukagua wana toa taarifa kabla ya kwenda,hakuna facilities za kutoa degree na mazingira mabovu..balaa ukifatilia elimu za walim wao wengi si nzuri..UDOM serikali wanaendesha kisiasa watu hawasomi vile inavyotakiwa
Bora uongee naona yote ni yaleyale tu kwenye ishu za vyuo.kurudiarudia mada ni dalili ya kuishiwa mawazo,UDOM imekua ikizungumziwa too much kwa mada za aina ile ile na hakuna hata moja inayo-sugest solutions ya matatizo ya UDOM,kaz ni kuponda tu,huo sio u-great thinker,kuwa great thinker ni pamoja na kutoa solns sio kuponda 2 ka mipasho
kurudiarudia mada ni dalili ya kuishiwa mawazo,UDOM imekua ikizungumziwa too much kwa mada za aina ile ile na hakuna hata moja inayo-sugest solutions ya matatizo ya UDOM,kaz ni kuponda tu,huo sio u-great thinker,kuwa great thinker ni pamoja na kutoa solns sio kuponda 2 ka mipasho
that is great thinkingKwa udom solution ni kubadili viongozi wote (vc, arc na pfa). hili Pinda analijua sana ili amezidiwa nguvu na jk
sidhani kama we hata 4m 4 kama umefika,huwezi waita wenzio vilaza bana.UDOM ni chuo cha vilaza hatasikumoja huwezi kuta mtu mwenye div one ya ukweli akapangwa UDOM.Kule wanaenda wajinga ili waje kuwa makada wa CCM Tu.st joseph napo wizi mtupu hamna chochote si lolote.Chuo chenye hadhi na heshima Tanzania Ni UDSM peke yake.Pia hata kwenye interview huwa wanafukuzwaga kama jibwa koko.
vyuo hivi serikali inapotoka havina viwango tusiharakishe kwa kupata wasomi fake,St.joseph waalim fake last yr kulikuwa na doctorate moja tena kaondoka...nyingine ni principal hao wengine wahind wana masters za kuunga taarifa zilifika had kwa pinda ihakuna ufatiliaj..engineer alisoma EGM si utan,udom siasa wapi tunakwenda