kweli kabisa mkuu. Watu wengine humu kama mazuzu. Kila siku ooh chuo kipi bora kuliko kingine, ooh MBA ya wapi sijui imefanyaje. HEBU JIANGALIE JE WEWE NI BORA KULIKO WENGINE? usifagilie chuo ulichosoma wakati ulitoka na kiGPA chako cha mbili.Acheni upoyoyo na uzuzu.niliwahi kusema humu na nina rudia tena.. "chuo unachosoma sio ishu.... ishu ni akili kumkichwa...ziimoo.. kama wewe ni manafunzi fake ndio tatizo... tatizo sio chuo"...
nakuunga mkono mkuuthat is great thinking
UDOM ni chuo cha vilaza hatasikumoja huwezi kuta mtu mwenye div one ya ukweli akapangwa UDOM.Kule wanaenda wajinga ili waje kuwa makada wa CCM Tu.st joseph napo wizi mtupu hamna chochote si lolote.Chuo chenye hadhi na heshima Tanzania Ni UDSM peke yake.Pia hata kwenye interview huwa wanafukuzwaga kama jibwa koko.
kumbe ifm na mzumbe navyo ni vyuo bora mkuu,ubora wao uko kwenye nin vile?Chuo ni chuo tu ilimradi kitambuliwe na NACTE, Ila ubora wa muhitimu ni juhudi yake mwenyewe lakini bado tutabakiwa na vyuo bora ambavyo siku zote asilimia kubwa watatoka wahitimu bora mfano UDSM, MUHIMBILI, IFM,MZUMBE nk.
vyuo hivi serikali inapotoka havina viwango tusiharakishe kwa kupata wasomi fake,St.joseph waalim fake last yr kulikuwa na doctorate moja tena kaondoka...nyingine ni principal hao wengine wahind wana masters za kuunga taarifa zilifika had kwa pinda ihakuna ufatiliaj..engineer alisoma EGM si utan,udom siasa wapi tunakwenda
acha upupu wewe! UDOM ZIPO DIV ONE NA TWO ZA UKWELI. Nina div 1.5 na niko udom utasemaje hapo? Na ukilaza unauonesha wewe hapa kwa jinsi unaropoka! Mentality za kijinga watu mmejazwa wala hamchambui mnachotaka kusema. Rethnk b4 u utter anythng dude! UDOM niijuayo mimi sio chuo cha vilaza ila wale watu wavivu wa kuwaza, wafata mkumbo, na wale wenye IQ below 30 ndio wanakiita cha vilaza!UDOM ni chuo cha vilaza hatasikumoja huwezi kuta mtu mwenye div one ya ukweli akapangwa UDOM.Kule wanaenda wajinga ili waje kuwa makada wa CCM Tu.st joseph napo wizi mtupu hamna chochote si lolote.Chuo chenye hadhi na heshima Tanzania Ni UDSM peke yake.Pia hata kwenye interview huwa wanafukuzwaga kama jibwa koko.
am a student at UDOM though we have shortage of teachers, tunasoma ipasavyo kwani hakuna ki2 nilishawahi kushindwa kusoma, all modules are covered on tym! Ni vigezo gani una2mia kusema degree ya UDOM haifai? Siasa ziko kila mahali na ni uchaguz wa m2 kujichanganya humo au lah! Na politics hazikuanzia UDOM anyway, hata udsm zipo na pia unatakiwa ujue u cant separate lyf with politics as lyf is politics and politics is lyf na pia ungekuwako humo ndani ya UDOM ujionee mwenyewe kuwa hzo politics (za vyama) ni za kidhaania zaidi kuliko uhalisia. Wanasema km hujafanya utafiti wa kutosha huna haki ya kusema kwani unaweza kupotosha watu na kuwa great thnker unatakiwa ufikirie kweli otherwise hutakuwa na tofauti na mpiga debe wa manzese! Kabla hujatema pumba zako uwaze bhana!huelew lipi?ni kwamba NACTE wamesajili st.joseph bila kufatilia ubora wao hata wakienda kukagua wana toa taarifa kabla ya kwenda,hakuna facilities za kutoa degree na mazingira mabovu..balaa ukifatilia elimu za walim wao wengi si nzuri..UDOM serikali wanaendesha kisiasa watu hawasomi vile inavyotakiwa
Unataka kuniambia UDOM siasa ni kama wakati ule Kivukoni chuo cha ukada wa TANU/CCM ?vyuo hivi serikali inapotoka havina viwango tusiharakishe kwa kupata wasomi fake,St.joseph waalim fake last yr kulikuwa na doctorate moja tena kaondoka...nyingine ni principal hao wengine wahind wana masters za kuunga taarifa zilifika had kwa pinda ihakuna ufatiliaj..engineer alisoma EGM si utan,udom siasa wapi tunakwenda
Unataka kuniambia UDOM siasa ni kama wakati ule Kivukoni chuo cha ukada wa TANU/CCM ?vyuo hivi serikali inapotoka havina viwango tusiharakishe kwa kupata wasomi fake,St.joseph waalim fake last yr kulikuwa na doctorate moja tena kaondoka...nyingine ni principal hao wengine wahind wana masters za kuunga taarifa zilifika had kwa pinda ihakuna ufatiliaj..engineer alisoma EGM si utan,udom siasa wapi tunakwenda
waambie UDSMJamani as great thinkers we nid 2 think deeply b4 we say anythng,sisi wote ni magraduate tayari na wengine ni watarajiwa,kuanza kupondana kisa majina ya chuo c busara kabisa as u know"C VYOTE VING'AAVYO NI DHAHABU" pia "MUWAMBA NGOMA HUVUTIA KWAKE" sisi tunakaa miaka 3-5 vyuoni ha2na mda mwingi wa kudig deep kupata detail za vyuo vye2 ili 2anze kubishana coz 2likuwa busy na coarse work na shule kwa ujumla wake wangekuwa wahadhiri we2 wana hii debate nisingeshangaa pia sioni logic ya sisi kubishana as we know kila chuo kina mapungufu yake ila tusitumie mapungufu hayo kukiponda chuo husika hata HAVARD UNIVERSITY kinapondwa pamoja na kuwa cha zamani, maarufu duniani na kuna wataalam na viongozi wengi maarufu duniani wametokea hapo, chuo chako kiwe dar,moro,dom, mwnz, arusha, z'bar etc it doesnt matter vyote viko Tz let us argue wisely 2sije anza tukanana wakuu, lets embrace the factual challanges, embrace them n find means to change coz kukosoa peke yake haitoshi, shauri nini kifanyike 2songe mbele nawasilisha
Kuna watu mnapenda kupotosha watu alokwambia Udom haina watu wa Div one ni nan? hebu jiangalie wewe mi nimemaliza July hii hapo Udom most people wana Div 1 na 2,acha hisia mbaya juu ya hivi vyuo