Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

kweli kaka hapo umenena kabisa,mwisho wa siku tutakuja kutukanana.
 
Jaman wenzangu wa Udsm hivi mnafikir elimu inayotolewa hapa inalingana na ile ya miaka ya nyuma?elimu imechakachuliwa tz nzima siku hzi,hapa udsm mm mwenyewe naona madhaifu chungu nzima basi tu watu sisi si wakweli.na ictoshe nawaona vilaza weng tu hapa udsm wanafunikwa na wale wacovilaza.chuo kama st.joseph wanatoa elimu bora kwakuangalia uwezo binafs wa mwnfnz mmoja mmoja kuhusu walmu wao sisi hatujui coz vyuo vingne navyo ni vyakimadharia tu ktk ufaulu wake.halaf hata huyu ****** jmk,si nikilaza wa Udsm na wana ccm wengne?judge urself kama kweli kuwa tu ifm,udsm nk kulitosha wengne wasiwe vilaza?kwan pale ifm c2mewahsikia wanaofanyiwa mitihan?nini sifa ya kujiunga pale ifm,mum na SAUT?Kwann Udom pekee,2ache unafiki watz ndo maana hatuendelei.
 
Hivi wa UDOM mwenye GPA 2.0, UDSM mwenye GPA 2.0,SUA mwenye GPA 2.0 yupi bora?? maana najua ST.Joseph huwezi kugraduate na GPA 2.0!
 
Hii thread siipendi kuna mtu kila siku anairudisha front..crap!
 
Dah! Me bado niko A-level nashukuru sana waungwana kwa kunipa mwanga naamini mwakani nikianza Chuo nitakua nafaham mambo machache kuhusu elimu ya juu.
 
Dah! Me bado niko A-level nashukuru sana waungwana kwa kunipa mwanga naamini mwakani nikianza Chuo nitakua nafaham mambo machache kuhusu elimu ya juu.
ok,piga msuli wa nguvu,ufaulu vzr ili nawe ubahatike kukanyaga udsm,otherwise st joseph patakuhusu.
 
Thanks pia namshukuru mungu mwendo wangu sio mbaya. Naamini nitafika UDSM.
 
Cha msingi acheni kusomea mitihani, msilinganishe vyuo vya Tz na vyuo kama Utah, Havard, Navy academy, etc, huko hawasomei mitihani, wanaelimika na hatimae kugundua vitu vipya.
 
ungejua 2 knachoendelea UDSM,mmh,usingetamani
 
Kwani kinaendelea nini. Hapo UDSM? Tufahamishane waungwana sababu wengine ndo form 6.
 
Weewe ni mwongo sana, ST Joseph naheshimu sana ufundishaji wao coz they are too practical than theories, Kama kuna kitu hupendi kuhusu ST Joseph Sema tu ila uache kujizungusha.
una uhakika na unayoyasema?
 
UDSM is th best in East Africa kwa vigezo vipi jamani? get serious mnapenda mpaka mnasahau ukweli,its th best coz
@kina miaka mingi
@wanaenroll madent wengi kuliko facility za madarasa na hostel
,tuweke wazi tujue
 
Nairobi university na makerere ndo the best in EA asikudanganye m2,UDSM zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…