Ubora wa elimu unaotolewa SUA, UDOM na UDSM

Ubora wa elimu unaotolewa SUA, UDOM na UDSM

La-Ranger

Member
Joined
Apr 27, 2021
Posts
22
Reaction score
13
Habarini za muda wana jamvii kama kichwaa cha habari kinavo jieleza hapo juu kuna tofauti gani wa ubora wa Elimu unaotolewa chuo kikuu cha kilimo morogoro SUA na ile inayotolewa chuo kikuu cha Dodoma UDOM & UDSM hususan katika zile course za kilimo?

Binafsi nina wanangu wanasoma course zinazo husu masuala ya kilimo katika vyuo vivyo hapo juu lakin kamwe uwezi kulinganisha na zile za SUA mfano Bsc.

In Environmental science ya sua uwezi linganisha na zile za UDSM & UDOM hata katika uwanja wa ajira SUA wanapewa preority kubwa ukilinganisha na hizo vyuo zingne.
 
1619690828166.png
 
Ukwel haupo hivo Kuna watu Wana sifa za kuajiriwa kabisa lkn tatizo ni nafasi za kuajiriwa ziko chache lkn Kuna watu Wana uelewa na uzoefu katika taaluma zao🇹🇿
 
Sua wako vizuri kwenye maswala yote ya agriculture.

Kuhusu environmental science/engineering, Ardhi university wako vizuri zaidi.

UDOM ni wamejaza mikozi mingi lakini ubora sidhani kwa kweli ila recently wameanza kukaza.
 
Kweli...ila naonaga Kama Kuna tofauti za Environmental science za SUA na za Ardhi au hi imekaaje kwani??maana naona za Ardhi ziko mathematical sana
 
Tangu Li-Meko limefoji Thesis pale UDSM huwa nakiona kile Chuo kimeingia kwenye najisi na ufedhuli mkubwa.
Anyway.. MUNGU ameshaturahisishia Blaza.
Limekifanya chuo chetu pendwa kionekane kama VETA.

Tunamshukuru Mungu kwa matendo yake makuu sana kwetu.

Sisi ni nani hata tusimshukuru?
 
Yote yamebaki majina na makapi tu, watu wanamasters na Phd yao lakini wanasubiri kuajiriwa sasa hiyo elimu imewasaidia nn? Au Ndio kukariri na kutema blah blah blah. Inshort Tz hakuna elimu bali nikupotezeana muda tu.

Wasomi wenyewe sindio hao kila siku wanakimbilia kwenye siasa kutafuta ulaji kwa sababu elimu zao walizosomea hazina ulaji kama wa kwenye siasa. Najua mifano unayo maprofessa, madokta wote sasa hv wanagombania nafasi za ubunge na udiwani. Aibu kwa taifa letu.
 
Yote yamebaki majina na makapi tu, watu wanamasters na Phd yao lakini wanasubiri kuajiriwa sasa hiyo elimu imewasaidia nn? Au Ndio kukariri na kutema blah blah blah. Inshort Tz hakuna elimu bali nikupotezeana muda tu. Wasomi wenyewe sindio hao kila siku wanakimbilia kwenye siasa kutafuta ulaji kwa sababu elimu zao walizosomea hazina ulaji kama wa kwenye siasa. Najua mifano unayo maprofessa, madokta wote sasa hv wanagombania nafasi za ubunge na udiwani. Aibu kwa taifa letu.
Kwa hio unataka Phd, masters nk wasiende kwenye siasa, kwa nini ?
Tuongozwe na std 7 na form4 eti.
 
Mwendazake alisemaga ati chuo kimoja wapo tajwa hapo juu ni cha vilaza.[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kwa nn wahadhiri waone kama ndiyo loop hole yakutokea there is something wrong?
Katiba ina waruhusu au haiwaruhusu?
Kwa nini mnakataisha wasomi matumaini ya kuongoza, yani wao walizaliwa kufundisha tu?

Hakuna mtu asietaka kupanda daraja.
Mbona wafanyabiashara hamuwasemi, tena wanamiliki mamilioni bado wanakimbilia kwenye siasa.

Siasa ni zaidi ya pesa ndugu. JPM angebaki kuwa msomi je angeweza kutekeleza aliyokuwa anayaota. Siasa inakuwezesha kufanya nadharia kwa vitendo bila kumbembeleza mtu, unakuwa na mamlaka.

Unafikiri Trump aligombea uraisi ili apate pesa?
 
Katiba ina waruhusu au haiwaruhusu?
Kwa nini mnakataisha wasomi matumaini ya kuongoza, yani wao walizaliwa kufundisha tu?
Hakuna mtu asietaka kupanda daraja.
Mbona wafanyabiashara hamuwasemi, tena wanamiliki mamilioni bado wanakimbilia kwenye siasa.
Siasa ni zaidi ya pesa ndugu.JPM angebaki kuwa msomi je angeweza kutekeleza aliyokuwa anayaota. Siasa inakuwezesha kufanya nadharia kwa vitendo bila kumbembeleza mtu, unakuwa na mamlaka.
Unafikiri Trump aligombea uraisi ili apate pesa ?
Katiba inaruhusu na hakuna aliyewakataza kuingia kwenye siasa but isiwe fashion, kwa sababu sio kila mtu amezaliwa kuwa Mwanasiasa (Capture that).
Imagine madaktari wote wakimbilie kwenye siasa na waache professional zao huko mahospitalini hali itakuwaje? Ifike mahali watu tuwe na kiasi na sio kutaka kikubwa zaidi. Lakini hayo ndiyo maisha ya bongo wasomi hawafanyi jambo kwa ajili ya wito bali wapo kimaslahi zaidi.
 
Katiba inaruhusu na hakuna aliyewakataza kuingia kwenye siasa but isiwe fashion, kwa sababu sio kila mtu amezaliwa kuwa Mwanasiasa (Capture that).
Imagine madaktari wote wakimbilie kwenye siasa na waache professional zao huko mahospitalini hali itakuwaje? Ifike mahali watu tuwe na kiasi na sio kutaka kikubwa zaidi. Lakini hayo ndiyo maisha ya bongo wasomi hawafanyi jambo kwa ajili ya wito bali wapo kimaslahi zaidi.
Kwani kule kwenye siasa si wanashindana au wanapewa tu? Una takwimu za kutosha kutetea hoja yako? Au umeona wasomi kadhaa basi ume conclude.
 
Back
Top Bottom