Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mi naona watu wenye phd sio wengi kwenye siasa kuliko wasio na hizo phd, by observation.Katiba inaruhusu na hakuna aliyewakataza kuingia kwenye siasa but isiwe fashion, kwa sababu sio kila mtu amezaliwa kuwa Mwanasiasa (Capture that).
Imagine madaktari wote wakimbilie kwenye siasa na waache professional zao huko mahospitalini hali itakuwaje? Ifike mahali watu tuwe na kiasi na sio kutaka kikubwa zaidi. Lakini hayo ndiyo maisha ya bongo wasomi hawafanyi jambo kwa ajili ya wito bali wapo kimaslahi zaidi.