Ubora wa elimu unaotolewa SUA, UDOM na UDSM

Mi naona watu wenye phd sio wengi kwenye siasa kuliko wasio na hizo phd, by observation.
 
Katika degree programs za Kilimo SUA ni bora zaidi kuliko vyuo vyote nchini.
 
Kwani kule kwenye siasa si wanashindana au wanapewa tu? Una takwimu za kutosha kutetea hoja yako? Au umeona wasomi kadhaa basi ume conclude
Wewe kwani unaonaje?
Kwani kule kwenye siasa si wanashindana au wanapewa tu? Una takwimu za kutosha kutetea hoja yako? Au umeona wasomi kadhaa basi u
Ukweli ndio huo wanataaluma wetu wengi ni wachumia tumbo. Thats why hata elimu yetu niyakimagumashi magumashi tu.
 
Mi naona watu wenye phd sio wengi kwenye siasa kuliko wasio na hizo phd, by observation.
Ndio maana wahitimu wengi wa hivyo vyuo vyenu pendwa daily wanazunguka na makaratasi kushoto kulia kutafuta kazi za makaratasi.
 
Ndiyo maana siyo madaktari wote walikimbilia kwenye siasa, nchi hii inawatumishi zaidi ya laki sita kutoka kada mbalimbali serikalini. Ukilinganisha na hao wasomi wanaofanya siasa wala huwez kupata hofu kama zako hizo.
 
Ndio maana nimeandika neno "Imagine". Hofu kwako?
 
Kwa nn wahadhiri waone kama ndiyo loop hole yakutokea there is something wrong?
Kwa nini unadhani wahadhiri ndiyo wanatakiwa wapate shida kufikiria namna ya kupata hela kama kuna hela ipo tu mahala (kwenye siasa)?
 
Kwa nini unadhani wahadhiri ndiyo wanatakiwa wapate shida kufikiria namna ya kupata hela kama kuna hela ipo tu mahala (kwenye siasa)?
Because, There is something wrong? Soma vizuri sentesi yangu then utaondoka na jibu lako.
 
SUA wananiacha hoi kua na kozi za Ualimu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mleta mada kujifanya majuaji ndio maana unasoma chuo cha kataa. Hivi UDSM kuna Environmental Science kweli. Wana UDSM Environmental Science wao kule ni somo kwa wote. UDSM kila mmoja anayesoma sayansi au engineering anasoma somo la Environmental Science ni sawa na general study tu. UDSM hakuna Bachelor za kishamba kama hizo
 
Afadhali umemfafanulia huyo bwana shamba, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…