Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sina uhakika na entry qualification zao, lakini elimu yao ni nzuri hasa kwa techincal matters; unajua hivi sasa mali nyingi za india zinaaminika kuliko za mchina kuanzia pikipiki, magari, vyombo vya muziki kama amplifiers nk hadi some electronic equipments. Wamedhibiti uzalishaji wao kiasi kwamba uchakachuaji ni mdogo.
Hata hivyo inawezekana kuna vyuo visivyotambulika ambavyo vyaweza kuwa vya kitapeli lakini vyuo kama mysore vinaaminika.
Kwa hapa tanzania tayari kuna chuo kikuu kinaendeshwa na wahindi - ni cha kanisa; ni kizuri sana St.Joseph College Eng.and Tech.
www.stjosephtanzania.com

Mimi kuna rafiki yangu alipata Division 3 aliomba Bsc in Computer Science Udsm ila alikosa..akaomba University of Cape Town(Chuo cha kwanza kwa Ubora Africa) akapata nafasi.
Sasa sijui ubora unapimwa vipi au elimu ya High School ya Tanzania ni nzuri na inakubalika sana Duniani?
Pia kuna watu kibao wako USA,UK division zao sio nzuri sana.
Pia kuna vyuo humu ulimwenguni hawajali sana Ulifanya nini kwenye mtihani wako wa mwisho.
dah!broh,sa hao wa2 wakirud bongo tcu itatambua vyet vyao kwel jaman,mana nackia nao wana mashart yao?Nchi ikiwa na high capacity intake basi suala la kwamba mtu kapata grade fulani ndio anakuwa considered linapewa kipaumbele cha chini sana.Kwa Tanzania nafasi katika shule na vyuo ni chache hivyo lazima mchujo uwe mkali sana.Hauwezi kulinganisha ubora wa elimu kwa kutumia hicho kigezo,pima uwezo wa wahitimu.Watu wengi kwa kutumia kigezo cha kwamba Mtu aliyepata division 4 na kuruhusiwa kusoma katika nchi kama Uganda basi wana-conclude kuwa elimu ya Uganda na India ziko chini yet ukianza kuwaulizia maswali zaidi wataishia kukuuliza kabila lako na kukulaumu kwa kukosa uzalendo.Wangapi wamepiga beseni hapa Tz yet kwenda abroad wanapeta vizuri tena kwenye developed countries.
TCU wanahusika na qualification za kuingia chuo,sina uhakika kama wana mamlaka ya ku-verify university graduates.Hata hivyo sidhani kama mtu atakuja na scripts zake za Cape town uni halafu TCU wamwekee mkono kwamba alifeli form 4 au form 6.dah!broh,sa hao wa2 wakirud bongo tcu itatambua vyet vyao kwel jaman,mana nackia nao wana mashart yao?
dah!broh,sa hao wa2 wakirud bongo tcu itatambua vyet vyao kwel jaman,mana nackia nao wana mashart yao?