Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Nikiwa nimetulia vyema siku ya Jana nikiangalia mpira nikiwa peke yangu.
Nimebaini timu ya Simba imesajili haswa,ni vitu vidogo tu ambavyo vimewafanya wakose ushindi.
1.Presha ya kucheza kwa kutaka kufuta uteja,hii imesababisha timu kukosa ile kujiamini Moja kwa moja.
2.beki ya Simba kupandisha mashambulizi na kujisahau,kumbuka shuti liliogonga mwamba dakika za mwanzoni Lililopigwa na Dube,hii ni kitendo cha Malone kufocus kwenda mbele tu
3.kucheza wakiwa na hofu ya redcard hivyo kukaba kiuoga,maana walikuwa wakimruhusu Pacome akokote mipira hili ni kosa kubwa walifanya ,na vile Pacome alivyomjanja kwa kuzisaka faulo ndiyo kabisa
Ni hayo tu kuhusu Yanga Kuna namna ilielemewa ni vile tu uwezo wa mchezaji mmoja mmoja.
Ila Joshua Mutale,na Debra Fernandes ni watu na nusu timu za ligi kuu zijiandae