Ubora wa kikosi Cha Simba

Ubora wa kikosi Cha Simba

Mpaka sasa sijaona uzi wa mtu kuisifia ama kuiponda yanga, ila simba nyuzi za kujitetea ni nyingi sana.

Mtazikimbia hizi, haya tusubiri tu.
Wazikimbie kwanini na mlisema mtashinda kwa goli nane siku ya nane nane?
 
MCHUKUUE KIBU, MUTALE, DEBORA, NA AWESU AWESU WAWEKE KWENYE BRENDA SAGA KWA DAKIKA MOJA KISHA TIA SHABALALA NA KAPOMBE KIDOGO SAGA TENA KISHA TIA SHABALALA NA KAPOMBE SAGA TENA KISHA TIA MZAMIRU NA MUKWALA KWA MBALI SAGA KIDOGO TENA HALFU WEKA BALUA VIJIKO VIWILI NA FONDO MALONE KIJIKO KIMOJA HALFU KOROGA VIZURI NDIO UNAMPATA PROFESA WA MPIRA PACOME ZOUA ZOUA😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻
449563c7d76545be88da2ba1a2765d00.jpg
 
Uchambuzi mujarabu kabisa, ila kocha alisema ameshawaandaa wachezaji wake kisaikolojia kuwa ni mechi ya kawaida tu, ikaweje wakapanic tena?. Shukran za dhat ziende kwa waamuz, mngekimbiana hapa msimbazi
Muamuzi kafanyajee? Jana kachezesha vizuri tyuuh.
Mmezoea Arajiga kuwapa Yanga mabao mengi ya uongo, ili kumfurahisha BT.
 
Mshukuruni refa jana zilitakiwa ziwe nne.Yaani refa na washika vibendera ndio waliofanya ujione unatimu,ila hauna ubora wowote.

Pili nimetizama mechi ya juzi na jana ,timu haina namba kumi ,so kocha msimu huu wakombozi wake ni Mutali na Kibu/Balua na watu wakikaba pembeni huna shughuli.Still bado kocha hata ule muunganiko bado, yaani ile fulani afanye nini/ajiposition wapi wakati timu ina mpira au hamna.
Mmezoea Arajiga wa kuwapa bao nyingi za uongo,
Em taja movement 3 ambazo zilikua bao na refa kakataa, nipo hapa kusubiri usemee.
 
Mmezoea Arajiga wa kuwapa bao nyingi za uongo,
Em taja movement 3 ambazo zilikua bao na refa kakataa, nipo hapa kusubiri usemee.
Kumbe upo long time sijakuona.

Aziz na Dube yale ni magoli halali,plus penati ya Aziz,halafu kocha wako kwenye press analalamikia mmeomewa,penati ya dk ya mwisho.Yote kwa yote timu yake ubora wake umetokana na mwamuzi na mshika vibendera. Halafu kocha wako anataka VAR,we unazani jana kungekuwa na VAR si mngekula nne.

Nasubiria hoja za kimpira kupinga zangu.
 
Me huwa sielewi watu huwa mnaangaliaje mpira yanga kazidiwa lakini asilimia za umiliki mpira kwenye muda kamili yanga 58 Simba 42 Sasa kazidiwaje?
 
Kumbe upo long time sijakuona.

Aziz na Dube yale ni magoli halali,plus penati ya Aziz,halafu kocha wako kwenye press analalamikia mmeomewa,penati ya dk ya mwisho.Yote kwa yote timu yake ubora wake umetokana na mwamuzi na mshika vibendera. Halafu kocha wako anataka VAR,we unazani jana kungekuwa na VAR si mngekula nne.

Nasubiria hoja za kimpira kupinga zangu.
Dube alifunga bao lilikataliwa lipi hilo? Em sema ilikuajee?

Ile ya Aziz ki ilikua clear offside, hata ukitazama marejeo ya picha mjongeo utaona.

Kuhusu Penalty ya aziz ki naweza sema ilikua sawa, na ndo maana sisi tulipopata pia alinyima, kusawazishaa.

Kwa mpira wa jana, matokeo yangekua 2 - 1 endapo Penalty zilizonyimwa zingekubaliwa kupigwa na kuwa mabao.

Hizi za bao 4, ndo nashangaa kwako wee,
 
Type Error si Dube bali Pacome.....

Clear offside how? Au nikuwekee link hapa JF,hauhitaji hata kuchora mistari.
 
Kuna watu nimewaambia jana ni mala ya mwisho Yanga kumfunga Simba...
Sidhani kama mnavyowaza ni sahihi ila sio mbaya kuendelea kujifariji maana hata kabla ya hii mechi, mashabiki wa Simba waliamini kuwa wachezaji wa Yanga watapimwa umri. Kitu pekee nilichokiona, dakika za mwanzoni Yanga walikosa utulivu wengi walikuwa wametoka mchezo kule nyuma mpaka Diarra nae. Ila baada ya kuhimili presha wakaanza kurudi mchezoni na kuucheza mpira wao huku ikiwaruhusu Simba wacheze mpira na wao kukaba njia.

Yanga ya msimu huu naona imebadilika kidogo hawachezi mpira wa pressing mwanzo mwisho bali wanafanya pressing kwa vipindi. Na walivyofanya pressing wachezaji wengi wa Simba walikuwa wanapoteza mipira. Ngoja Fadlu apike na Gamondi aendee kupika tuone mechi za ligi kuu ni timu ipi imekamilika na ipi ilikuwa imekamia mechi.
 
Type Error si Dube bali Pacome.....

Clear offside how? Au nikuwekee link hapa JF,hauhitaji hata kuchora mistari.
Mbona nlikuambia weka kila kitu hapaa, ili kuthibitisha hoja yako.
Haihitaji uniulize, Wee kazi yako kuweka ili tuthitibishe madai ya mabao yako 4.
 
Dube alifunga bao lilikataliwa lipi hilo? Em sema ilikuajee?

Ile ya Aziz ki ilikua clear offside, hata ukitazama marejeo ya picha mjongeo utaona.

Kuhusu Penalty ya aziz ki naweza sema ilikua sawa, na ndo maana sisi tulipopata pia alinyima, kusawazishaa.

Kwa mpira wa jana, matokeo yangekua 2 - 1 endapo Penalty zilizonyimwa zingekubaliwa kupigwa na kuwa mabao.

Hizi za bao 4, ndo nashangaa kwako wee,
Dube alichezewa faulo ndani ya 18 refa kapeta
Azizi Ki kachezewa faulo refa kapeta
Pacome kafunga goli marejeo yanaonesha kuwa yupo onside ila refa kakataa
Azizi Ki anafunga goli linakataliwa ni offside japo marejeo inaonesha yupo sawasawa na beki wa Simba
 
Lefa kapeta penarti ya wazi kabisa aliyochezewa rafu Kajil ndani ya box.
 
Type Error si Dube bali Pacome.....

Clear offside how? Au nikuwekee link hapa JF,hauhitaji hata kuchora mistari.
Aliyetoa one two ndo alikua offside sio pacome, ile ni clear offside boss
 
Nyie paruaneni tu Tz na dunia inajua yanga kashinda mambo ya off side au on side naona makelele
 
Back
Top Bottom