Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
*2009 bingwa chelsea2006-man u
2007-man u
2008-man u
2009-man u
2010-Chelsea
2011-man u
2012-man city
2013-man u
Pana ligi hapa? Bado yule babu angeendelea kuwepo angeendelea kuchukua. Sasa angalia huo mtiririko halafu angalia performance ya uefa. Narudio hatuwezi tukatoa hitimisho la ligi bora kwa kutumia ushindani wa ndani ama kigezo cha uefa pekee.
2009 man u2006-man u
2007-man u
2008-man u
2009-man u
2010-Chelsea
2011-man u
2012-man city
2013-man u
Pana ligi hapa? Bado yule babu angeendelea kuwepo angeendelea kuchukua. Sasa angalia huo mtiririko halafu angalia performance ya uefa. Narudio hatuwezi tukatoa hitimisho la ligi bora kwa kutumia ushindani wa ndani ama kigezo cha uefa pekee.
Nakujibu hoja yako kuhusu Barcelona kuchukua ubingwa mara 5 wa la liga kwa kipindi cha miaka 82009 man u
2010 chelsea
2011 man u
2012 man city
2013 man u
2014 man city
2015 chelsea
2016 leceister city
Haya twende spain
2009 barca
2010 barca
2011 barca
2012 madrid
2013 barca
2014 Atletico
2016 barca loading......
2015 barca
Hivi ukiangalia kweli huoni wap hamna ligi na wap ipo!!!?
Yaan la liga ni ligi ya mtu mmoja tuu
Man city akicheza la liga kwa ratiba ile ile haez fungwa sevilla hata kdogoUkizoea VITZ huwezi jua raha ya Hummer. EPL ina timu zenye uwezo usiotofautiana sana ila viwango vya chini. La Liga ina team nyingi bora sana na hii uifanya ligi yao kuwa na mpira wa kuburudisha zaidi na kuvutia hivyo kuifanya kuwa bora. Zichukue real madrid/ Barcelona/ Atletico zipeleke EPL pata picha kama bingwa hatakuwa miongoni mwa hawa. chukua leicester/ Arsenal/Man city/ zipeleke Laliga piga picha nafasi zao zitaanzia wapi.. si mbele ya 8. hawawote ni kichekesho mbele ya Seville/ Villareal/Bilbao/Granada/Valencia
HahahaNakujibu hoja yako kuhusu Barcelona kuchukua ubingwa mara 5 wa la liga kwa kipindi cha miaka 8
NAANZA NA EPL
1:Aston Vila kwenye miaka 8 alichukua mara 5
2: Arsenal kwenye miaka 8 alichukua mara 5
3:Liverpool kwenye miaka 15 alichukua mara 10
4 : Man u kwenye miaka 21 kachukua mara 13
JE HAPA NAPO KUNA LIGI??
[emoji13] [emoji13] na Arse8 kuchukua F.A mara tatu mfululizoHahaha
Yaan hapo unataka utumie data za miaka ya 1960, 1980 na
Kwenye EPL Man u mara ya mwisho kuchukua mfulilizo ni msimu wa 2008/2009, toka mwaka huo EPL hajawah kujirudoa bingwa
Na hapo bado mchuano wa top four huwa ni hataree, kina mzee wenger wenye nafas zao uko
La liga barca waneand ku comfirm tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji13] [emoji13] na Arse8 kuchukua F.A mara tatu mfululizo
mkuu we umeuliza swali la mana sanaMkuu mkolaj ,Barcelona na Leicester nani amefungwa mechi nyingi? Kwa taarifa yako,Barcelona amefungwa 5 na Leicester amefungwa 3 tu. Wakati Barcelona amefungwa na Socedad,Celta Vigo,Valencia na Madrid,Leicester amefungwa na Arsenal na Liverpool tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] oooh sikukarir vzur hlo kombe la mbuz ila kiufup Ubora wa klabu nzuri ni kuzid tetea makombe pasipo kupoteza Sasa nyie mmezoea kufingwa na timu zinazoshuka daraja halafu mnapongezana et ligi bora[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cja ongelea FA nmeongelea
English Premier League
Hapo ilibid tuanze sasa FA vs Copa de la Rey
Alaf arsenal kachukua mara 2 mfulilzo cyo 3 ulzo sema
Huo ndo ushindani sasa, anaye shuka daraja ana weza kumfunga anaye ongoza[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] oooh sikukarir vzur hlo kombe la mbuz ila kiufup Ubora wa klabu nzuri ni kuzid tetea makombe pasipo kupoteza Sasa nyie mmezoea kufingwa na timu zinazoshuka daraja halafu mnapongezana et ligi bora
Dunia nzima ni Barcelona pekee ndiyo ikifungwa dunia yote inashangaaHuo ndo ushindani sasa, anaye shuka daraja ana weza kumfunga anaye ongoza
Ila kwenu barca akifungwa na madrid 2-1 tuu, linakuwa tukio la ajab kwel kwel
Ye apo ana mpiga madrid hata 4-0 alaf tunachukulia poa
Ligi ya Bongo ni kama ligi ya England tu,team kubwa tajiri inafungwa na kitimu kidogo masikini!! Nasikia Simba kafungwa na Kitimu kidogo tu cha Shinyanga! 1-0Huo ndo ushindani sasa, anaye shuka daraja ana weza kumfunga anaye ongoza
Ila kwenu barca akifungwa na madrid 2-1 tuu, linakuwa tukio la ajab kwel kwel
Ye apo ana mpiga madrid hata 4-0 alaf tunachukulia poa
Nyie mbona mlifungwa na celta Vigo timu ndogo tuLigi ya Bongo ni kama ligi ya England tu,team kubwa tajiri inafungwa na kitimu kidogo masikini!! Nasikia Simba kafungwa na Kitimu kidogo tu cha Shinyanga! 1-0
kwa mujibu wa mashabiki wa EPL team kubwa kufungwa na team ndogo ndio ubora wa ligi..!!
mwaka gani? nikumbushe [emoji1]Nyie mbona mlifungwa na celta Vigo timu ndogo tu
Msimu huu, tena kuna mchezaji alikuwa Liverpool ndo aliwafunga goli mbili kama sijakoseamwaka gani? nikumbushe [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimeuliza mwaka gani au imepita miezi mingap[emoji13]Msimu huu, tena kuna mchezaji alikuwa Liverpool ndo aliwafunga goli mbili kama sijakosea
2015[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimeuliza mwaka gani au imepita miezi mingap[emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hyo mara ya mwisho Barcelona kufungwa na timu ndogo ni mwaka jana ila Man u kufungwa na timu ndogo ni usiku wa kuamkia leo[emoji13] [emoji13] hv bado hauoni utofauti2015