Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaah elimu elimu elimu hivi unajua kama Sevila Bilbao Valencia Malaga wote hawa hawapo top 4 La Liga unawezaje sema timu bora zipo chache sasa hebu nitajie hizo timu bora nyingi za EPL? nizichambue hapaLa liga ina timu bora tena chache uwez ona underground anachukua ubingwa uko milele ni ushindani wa izo timu tatu tofauti na epl ata kama la liga izo timu zisipokuwa form mabingwa na tatu bora ni hao hao na kama unataka kuamini angalia gap kati ya mtu wa tatu na wa 4 la liga afu angalia epl ndio ujue ushindani uko wapi barca kafungwa mechi tatu mfululizo na bado anaongoza ligi ebu yafanye epl uone kamuulize spurs ka droo mechi moja ndoto za ubingwa kwaeli
Kwa hyo ya mwaka juzi huyakumbuki Kati ya Atletico na Barcelona ubingwa Barcelona tuliukosa mechi ya mwishoKwa mara ya kwanza msimu huu Ligi ya Spain inaamuliwa na game za mwisho. Sikumbuki mara ya mwisho lini hali hii kutokea, siku zote watu huwa wanafanya mahesabu bado mechi kibao.
Kwa mara ya kwanza msimu huu Ligi ya Spain inaamuliwa na game za mwisho. Sikumbuki mara ya mwisho lini hali hii kutokea, siku zote watu huwa wanafanya mahesabu bado mechi kibao.
sasa unabisha? Rejea mechi ya mwisho, Tevez alivyfunga ndani ya dkk za nyongeza. Kabla ya goli hilo, man utd walikuwa washaanza kushangilia ubingwa.rejea vizur kumbukumbu zako
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] daaah kweli hawa ndio washabiki wa EPL waliojaa FACTsasa unabisha? Rejea mechi ya mwisho, Tevez alivyfunga ndani ya dkk za nyongeza. Kabla ya goli hilo, man utd walikuwa washaanza kushangilia ubingwa.
Mwaka 2000 deportivo la coruna ilikuwa ni under dog lakini ilichukuwa ubingwa. Kabla hujakomenti unapaswa uwe unajaribu kufanya uchunguzi kidogo. Unajua kuanzia 2000-2004 hata barca ilikuwa ni under dog na timu zilizokuwa zinatamba ni Valencia na real mardlid. Mkuu hili unaloliandika una uhakika nalo na kulifanyia uchunguzi, unaijua real Mallorca ya Samuel etoo changamoto kwa barca na real. Mkuu swala la ligi bora yapaswa kuangalia kigezo zaidi ya kimoja ndo maana nasemaje humu wadau tufanye utafiti wetu wenyewe mi kwa sasa ni ngumu kusema ipi ni ligi bora.La liga ina timu bora tena chache uwez ona underground anachukua ubingwa uko milele ni ushindani wa izo timu tatu tofauti na epl ata kama la liga izo timu zisipokuwa form mabingwa na tatu bora ni hao hao na kama unataka kuamini angalia gap kati ya mtu wa tatu na wa 4 la liga afu angalia epl ndio ujue ushindani uko wapi barca kafungwa mechi tatu mfululizo na bado anaongoza ligi ebu yafanye epl uone kamuulize spurs ka droo mechi moja ndoto za ubingwa kwaeli
Hao wanaopiga hat-trick ndio wanaopiga hivyo hivyo ulaya nzima...ongea hoja nyingineLigi ambayo hat trick zimejaa halafu unaiita bora? Kuna ligi hat trick inatafutwa kwa tochi. Tofautisha kati ya vilabu bora na ligi bora.
Kaika miaka 7 ilo pita barca kachukua 5 na saa hz anenda 8Mwaka 2000 deportivo la coruna ilikuwa ni under dog lakini ilichukuwa ubingwa. Kabla hujakomenti unapaswa uwe unajaribu kufanya uchunguzi kidogo. Unajua kuanzia 2000-2004 hata barca ilikuwa ni under dog na timu zilizokuwa zinatamba ni Valencia na real mardlid. Mkuu hili unaloliandika una uhakika nalo na kulifanyia uchunguzi, unaijua real Mallorca ya Samuel etoo changamoto kwa barca na real. Mkuu swala la ligi bora yapaswa kuangalia kigezo zaidi ya kimoja ndo maana nasemaje humu wadau tufanye utafiti wetu wenyewe mi kwa sasa ni ngumu kusema ipi ni ligi bora.
Acha hoja nyepesi....ubora wa ligi unapimwa kwa jinsi mnavyoweza pambana na wapi mkafika mkitoka nje ya ligi yenu....huwez kusema shule yenu ni bora eti kwa sababu mnabadilishana nafasi za nani wa kwanza darasana halafu mkikutana kwenye mitihan ya nje na shule nyingine mnakula zero mkajiita ni shule bora...mtakuwa ni vilaza mliojikusanya sehemu mojaUbora wa ligi unapimwa kwa level ya competition kwenye ligi husika.... Sasa kwenye la liga competition ni baija ya timu tatu, watu wanashinda goli 6 kila wiki hamna ligi hapo, sema kuna timu chache bora. Maana ya ligi ni ushindani, na hakuna kama EPL katika hilo.
Umesahau msimu wa mwaka juzi ambao mechi ya mwisho kati ya atletico vs barca ndo ilikuwa inaaamua bingwa nani?au mkuu umeanza kufuatilia mpira mwaka huuKwa mara ya kwanza msimu huu Ligi ya Spain inaamuliwa na game za mwisho. Sikumbuki mara ya mwisho lini hali hii kutokea, siku zote watu huwa wanafanya mahesabu bado mechi kibao.
2006-man uKaika miaka 7 ilo pita barca kachukua 5 na saa hz anenda 8
Hamna ligi uko
Hujui kuwa hata kuonyesha WWE ni bei kubwa?La liga ndio maana hata Azam wanaonesha bei rahisi lkn EPL habari nyingine. Haiwezekani kitu bora kikauzwa bei ya kutupwa kibovu kiwe mara 4. Kitu kikubwa EPL ina mvuto mkubwa sana na inatizamwa sana duniani, hilo halina ubishi.