Ubora wa ligi: Ni La Liga tu ambao hawajampata bingwa wakisubiri mechi ya mwisho

Kwa mara ya kwanza msimu huu Ligi ya Spain inaamuliwa na game za mwisho. Sikumbuki mara ya mwisho lini hali hii kutokea, siku zote watu huwa wanafanya mahesabu bado mechi kibao.
 
La liga ina timu bora tena chache uwez ona underground anachukua ubingwa uko milele ni ushindani wa izo timu tatu tofauti na epl ata kama la liga izo timu zisipokuwa form mabingwa na tatu bora ni hao hao na kama unataka kuamini angalia gap kati ya mtu wa tatu na wa 4 la liga afu angalia epl ndio ujue ushindani uko wapi barca kafungwa mechi tatu mfululizo na bado anaongoza ligi ebu yafanye epl uone kamuulize spurs ka droo mechi moja ndoto za ubingwa kwaeli
Daaaah elimu elimu elimu hivi unajua kama Sevila Bilbao Valencia Malaga wote hawa hawapo top 4 La Liga unawezaje sema timu bora zipo chache sasa hebu nitajie hizo timu bora nyingi za EPL? nizichambue hapa
 
Kwa mara ya kwanza msimu huu Ligi ya Spain inaamuliwa na game za mwisho. Sikumbuki mara ya mwisho lini hali hii kutokea, siku zote watu huwa wanafanya mahesabu bado mechi kibao.
Kwa hyo ya mwaka juzi huyakumbuki Kati ya Atletico na Barcelona ubingwa Barcelona tuliukosa mechi ya mwisho
HII INAONYESHA NI JINS GANI ULIVYOANZA SHABIKIA MPIRA HIVI MAJUZ
 
Uko deep sana kwa mambo ya soka mkuu PNC 1.

Nafurahigi unavyowakimbiza kwa facts fanboys wa EPL.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mwaka juzi
Kwa mara ya kwanza msimu huu Ligi ya Spain inaamuliwa na game za mwisho. Sikumbuki mara ya mwisho lini hali hii kutokea, siku zote watu huwa wanafanya mahesabu bado mechi kibao.
 
rejea vizur kumbukumbu zako
sasa unabisha? Rejea mechi ya mwisho, Tevez alivyfunga ndani ya dkk za nyongeza. Kabla ya goli hilo, man utd walikuwa washaanza kushangilia ubingwa.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] daaah kweli hawa ndio washabiki wa EPL waliojaa FACT

Kama sikosei Tevez alikwenda nje akaingia Super Mario katika hyo mechi ya mwisho tena alitoka kabla hata ya dk ya 70 sasa cjajua hizo dakika za nyongeza ni dakika ya 70 au 72 n.k.
Na wakat Tevez anakwenda nje Matokeo yalikuwa ni 2:1 ashukuriwe Dzeko na Kun Aguero waliosababisha maajabu dakika za majeruhi

WAKAT MWINGINE UKINIQUOTE UJIPANGE KWA HOJA THABITI[emoji1]
 
Hizo ndio ligi za ukweli sio hapa kwetu bingwa anapatikana kwa kununua mechi na kubebwa na chama cha soka......
 
La liga ndio maana hata Azam wanaonesha bei rahisi lkn EPL habari nyingine. Haiwezekani kitu bora kikauzwa bei ya kutupwa kibovu kiwe mara 4. Kitu kikubwa EPL ina mvuto mkubwa sana na inatizamwa sana duniani, hilo halina ubishi.
 
La liga ina timu bora tena chache uwez ona underground anachukua ubingwa uko milele ni ushindani wa izo timu tatu tofauti na epl ata kama la liga izo timu zisipokuwa form mabingwa na tatu bora ni hao hao na kama unataka kuamini angalia gap kati ya mtu wa tatu na wa 4 la liga afu angalia epl ndio ujue ushindani uko wapi barca kafungwa mechi tatu mfululizo na bado anaongoza ligi ebu yafanye epl uone kamuulize spurs ka droo mechi moja ndoto za ubingwa kwaeli
Mwaka 2000 deportivo la coruna ilikuwa ni under dog lakini ilichukuwa ubingwa. Kabla hujakomenti unapaswa uwe unajaribu kufanya uchunguzi kidogo. Unajua kuanzia 2000-2004 hata barca ilikuwa ni under dog na timu zilizokuwa zinatamba ni Valencia na real mardlid. Mkuu hili unaloliandika una uhakika nalo na kulifanyia uchunguzi, unaijua real Mallorca ya Samuel etoo changamoto kwa barca na real. Mkuu swala la ligi bora yapaswa kuangalia kigezo zaidi ya kimoja ndo maana nasemaje humu wadau tufanye utafiti wetu wenyewe mi kwa sasa ni ngumu kusema ipi ni ligi bora.
 
Kaika miaka 7 ilo pita barca kachukua 5 na saa hz anenda 8

Hamna ligi uko
 
Ubora wa ligi unapimwa kwa level ya competition kwenye ligi husika.... Sasa kwenye la liga competition ni baija ya timu tatu, watu wanashinda goli 6 kila wiki hamna ligi hapo, sema kuna timu chache bora. Maana ya ligi ni ushindani, na hakuna kama EPL katika hilo.
Acha hoja nyepesi....ubora wa ligi unapimwa kwa jinsi mnavyoweza pambana na wapi mkafika mkitoka nje ya ligi yenu....huwez kusema shule yenu ni bora eti kwa sababu mnabadilishana nafasi za nani wa kwanza darasana halafu mkikutana kwenye mitihan ya nje na shule nyingine mnakula zero mkajiita ni shule bora...mtakuwa ni vilaza mliojikusanya sehemu moja
 
Kwa mara ya kwanza msimu huu Ligi ya Spain inaamuliwa na game za mwisho. Sikumbuki mara ya mwisho lini hali hii kutokea, siku zote watu huwa wanafanya mahesabu bado mechi kibao.
Umesahau msimu wa mwaka juzi ambao mechi ya mwisho kati ya atletico vs barca ndo ilikuwa inaaamua bingwa nani?au mkuu umeanza kufuatilia mpira mwaka huu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kaika miaka 7 ilo pita barca kachukua 5 na saa hz anenda 8

Hamna ligi uko
2006-man u
2007-man u
2008-man u
2009-man u
2010-Chelsea
2011-man u
2012-man city
2013-man u

Pana ligi hapa? Bado yule babu angeendelea kuwepo angeendelea kuchukua. Sasa angalia huo mtiririko halafu angalia performance ya uefa. Narudio hatuwezi tukatoa hitimisho la ligi bora kwa kutumia ushindani wa ndani ama kigezo cha uefa pekee.
 
La liga ndio maana hata Azam wanaonesha bei rahisi lkn EPL habari nyingine. Haiwezekani kitu bora kikauzwa bei ya kutupwa kibovu kiwe mara 4. Kitu kikubwa EPL ina mvuto mkubwa sana na inatizamwa sana duniani, hilo halina ubishi.
Hujui kuwa hata kuonyesha WWE ni bei kubwa?
kuonyesha michezo yoyote ya ngumi bei zake ni kubwa kuliko mpira,ndio maana mpira ukawa ni mchezo wa watu wa kati nawa chini
 
Mtoa mada yaani ubingwa kuamuliwa final day of the season hiyo nayo ni ubora wa ligi? U cant be serious!!
 
Back
Top Bottom