Ubora wa ligi ya China na usajili wa wachezaji wenye majina makubwa

Ubora wa ligi ya China na usajili wa wachezaji wenye majina makubwa

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Wachezaji Wenye Majina Makubwa kipindi cha Karibuni wamekua wakitimkia ligi kuu ya Uchina kwa Usajili wa pesa Nyingi mnoo mfano,Ramires,Demba Ba,Paulinho,Hulk...nk na pia kukiwa na tetesi za Carlos Tevez naye kutimkia uko.
Kwa usajili huu wa wachezaji wenye Majina Makubwa kwa timu za Uchina je ndo Kukua kwa ligi na soka la China? Je ipo siku ligi/timu za uchina zitakua bora kama vile ligi ya Epl,Bundesliga,La liga,Serie A...nk? Au ndo ile wachezaji kufuata pesa na kumalizia keria zao za mpira uko mfano USA?
 
Utakuwa kama wawekezaji watakuwa na maono ya kuendeleza soka huko mwanzo mugum
 
Umemsahau LAVEZ...huyu ndiye inasemekana kavunja rekodi kwa ulipwaji....anapiga pesa ndefu
 
Back
Top Bottom