Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
MAMELODI SUNDOWNS 🟡🔵 nimewatazama wakishinda 2-1 mbele ya Maniema Union ugenini leo, ukweli ni kwamba hawana tena ufanisi ule waliokuwa nao mwaka mmoja au miwili nyuma na hata ushindi wa leo basi washukuru uwepo wa Ronwen Williams langoni na mabadiliko ya haraka ya kuingia kwa Peter Shalulile aliyebadili matokeo mwishoni
Sundowns sioni tena ule ushawishi mkubwa waliokuwa nao kwenye aina yao ya uchezaji, ndani ya uwanja kuna mapungufu mengi mno na baadhi ya wachezaji ubora ni umeshuka sana! Miguel Cardoso kuna sehemu kama asipokuwa makini basi kuondoka pale haiwezi kuchukua muda mrefu hasa namna ya upangaji wa kikosi chake
Mchezo wa leo kama Maniema Union wangekuwa imara sana kwenye eneo la mwisho basi mechi ingeisha mapema mnoo, kuna attempts ambazo kama wangekuwa na watu wakatili mbele ya goli mechi wangemaliza mapema sana, Mamelodi washukuru mpinzani hakuwa bora sana eneo la mwisho
Simply! Msimu huu kama wanahitaji kuvuka Robo Fainali na kuendelea juu zaidi basi ni lazima wabadilike sana, kama haitokuwa hivyo basi ni ngumu sana kwao kusogea mbali zaidi kwa kutazama kiwango chao ndani ya Group Stage! Miguel Cardoso yupo ameingia kwenye wakati mgumu sana.
Let's Goo!!.