Ubora wa masters zinatotolewa katika chuo cha uhasibu arusha.

Ubora wa masters zinatotolewa katika chuo cha uhasibu arusha.

lunyiliko

Senior Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
171
Reaction score
79
Wadau naomba kujuzwa kuhusu ubora wa masters degree zinazotolewa chuo cha uhasibu Arusha. Nahitaji kusoma MBA- PSM lakini napata mashaka na soko lake la ajira kwani sijawahi kuona masters degree inatolewa ndani ya mwaka mmoja. kwa kawaida ni mwaka mmoja na nusu au miwili. Wasiwasi wangu ni kwamba wanawezaje kucover modules zote kwa mwaka mmoja ? je TCU pamoja na NACTE wamebariki utaratibu wa kutoa shahada za uzamili kwa muda wa mwaka mmoja tu ?

Kwa ambao tayari mmesoma hizo masters tutoeni tongotongo jamani au mtu yeyote anayeweza kutoa ufafanuzi zaidi.
 
Back
Top Bottom