Ubora wa mbali ngumu ( hard wood)

Ubora wa mbali ngumu ( hard wood)

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1730162012375.png

Mbao ngumu hupendeza machoni pia zina dumu kwa miaka mingi, wadudu si rahisi kushambulia mbao ngumu. Ni vizuri pia kuzilinda kutokana na kemikali pamoja na mwanga wajua pia maji ya mvua. Polish mara kwa mara huongeza ubora wa mbao ngumu.

Ninapoongelea mbao ngumu ni miti ambayo siku hizi ni adimu. Mfano ni mauler, mninga, mpingo na mingineyo.
 
View attachment 3137797

Ongezea na nyingine mkarati na mgama, ni mbao ngumu haswa, hubaki hivyo hivyo bila kuharibika katika mazingira yote, labda tu mvua na jua.
 
Back
Top Bottom