View attachment 3137797
Mbao ngumu hupendeza machoni pia zina dumu kwa miaka mingi, wadudu si rahisi kushambulia mbao ngumu. Ni vizuri pia kuzilinda kutokana na kemikali pamoja na mwanga wajua pia maji ya mvua. Polish mara kwa mara huongeza ubora wa mbao ngumu.
Ninapoongelea mbao ngumu ni miti ambayo siku hizi ni adimu. Mfano ni mauler, mninga, mpingo na mingineyo.