akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,737
- 1,102
ngoja nije mkuu, maana nisje kuingia chaka.mitiki ndiyo mbao bora sana ...acha kabisa ndugu yangu....mimi natengeneza fenicha za mitiki kwa bei nafuu sana karibu pm
Hapa ndipo panaponichanganya sasa, maana mwingine ananiambia mkongo ndio mwisho wa habari zote.mti bora kuliko wote duniani ni mninga, kuna kabati alichonga mzee enzi mimi sijazaliwa na lipo mpaka sasa na mbao zipo imara vile vile anachofanya yeye ni kupiga vanish tu, ni miaka 20+ sasa
trust me, mninga ndo mti bora wa miaka yote pia hata gharama yake si mchezo na haupatikani kila nchi, tuna bahati sisi kuwa nao, muulize fundi yoyote atakueleza, hizi mbao nyingi tunazoziona ni mipodo na sio imaraHapa ndipo panaponichanganya sasa, maana mwingine ananiambia mkongo ndio mwisho wa habari zote.
mninga unapatikana wapimti bora kuliko wote duniani ni mninga, kuna kabati alichonga mzee enzi mimi sijazaliwa na lipo mpaka sasa na mbao zipo imara vile vile anachofanya yeye ni kupiga vanish tu, ni miaka 20+ sasa
nyoosha maelezo yako kama hutojalimninga unapatikana wapi
Mninga si lolote si chochote kwa mtiki. Sema wengi mmekaririshwa tu coz mninga ndo ulianza kutumika kabla ya mtiki.mti bora kuliko wote duniani ni mninga, kuna kabati alichonga mzee enzi mimi sijazaliwa na lipo mpaka sasa na mbao zipo imara vile vile anachofanya yeye ni kupiga vanish tu, ni miaka 20+ sasa
neno langu sio sheria, mimi naongea kwa uzoefu coz naziona samani za mzee jinsi zilivyo imara mpaka sasa, na hapo zina umri mkubwa kuliko mimi mwenyeweMninga si lolote si chochote kwa mtiki. Sema wengi mmekaririshwa tu coz mninga ndo ulianza kutumika kabla ya mtiki.
In terms of durability, kwakweli mtiki ni baba lao hauozi wala haubunguliwi na unang'aa kuliko mninga.
Matumizi makuu ya mtiki ukiachana na samani za ndani, pia hutumika kutengeneza low surface finishings za ndege na meri bila kusahau vyombo vya mziki km spika etc!
Nyie wote mmekaririshwa tu na mnaishi kwa mazoea... mbao za mninga, mvule, mkongo/mkomba/mkola zilizoeleka kutumika kutokana na enzi hizo upatikanaji wake ulikuwa rahisi na ni miti iliyokuwa inajiotea ovyo maporini tofauti kabisa na mtiki ambao kiasili haukuwepo Tanganyika. Miti hii ipo kwa wingi bara la asia na ililetwa nchini enzi za mwl Nyerere ikaoteshwa Mtibwa, Lunguza na Kilosa.Kupata mbao za mninga kunahitaji umakini kama wewe hunauelewa wa mbao. Bei ya mninga iko juu ukiringanisha na mtiki. Kwa mimi mtaalam nikiinusa mbao au kuiangalia tu, najua huu ni mti gani.
NB: kama unahitaji mbao bora kabisa tafuta mti wa MNINGA AU MVURE.
Basi mkuu chukua hiyo na uelewe hivyo! mimi ni mdau wa mbao kitambo sana na nimezaliwa kwenye mashamba ya hifadhi za miti.neno langu sio sheria, mimi naongea kwa uzoefu coz naziona samani za mzee jinsi zilivyo imara mpaka sasa, na hapo zina umri mkubwa kuliko mimi mwenyewe
umesomeka!Basi mkuu chukua hiyo na uelewe hivyo! mimi ni mdau wa mbao kitambo sana na nimezaliwa kwenye mashamba ya hifadhi za miti.
Teh teh teh! mtiki bei yake ipo juu mkuu kuliko mninga. Labda huko sokoni kwenu hawaitambui thamani ya mtiki!Kupata mbao za mninga kunahitaji umakini kama wewe hunauelewa wa mbao. Bei ya mninga iko juu ukiringanisha na mtiki. Kwa mimi mtaalam nikiinusa mbao au kuiangalia tu, najua huu ni mti gani.
NB: kama unahitaji mbao bora kabisa tafuta mti wa MNINGA AU MVURE.
Hata mimi nimeshangaa kuona nimepewa bei ya mlango wa mbao za mtiki ikiwa imezidi mninga na mkongo; sikutarajia kwa kweliTeh teh teh! mtiki bei yake ipo juu mkuu kuliko mninga. Labda huko sokoni kwenu hawaitambui thamani ya mtiki!
Taboramninga unapatikana wapi
Hapo umechukua samani iliyo bora... wazungu wanasema "value for money" huo mlango hauozi na unavumilia humidity. No expansion or contraction in whatever season.Hata mimi nimeshangaa kuona nimepewa bei ya mlango wa mbao za mtiki ikiwa imezidi mninga na mkongo; sikutarajia kwa kweli
nashukuru mdau kwa ushauriMitiki ni mizuri zaidi, pia hustahimili ukame. Upatikanaji wa Mbegu ni rahisi na bei nafuu pia