Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
mitiki ndiyo mbao bora sana ...acha kabisa ndugu yangu....mimi natengeneza fenicha za mitiki kwa bei nafuu sana karibu pm
Abra one bado unatengeneza fenicha za mitiki, mbao unapata wapi? Natafuta mbao, ila za kipimo maalumu.mitiki ndiyo mbao bora sana ...acha kabisa ndugu yangu....mimi natengeneza fenicha za mitiki kwa bei nafuu sana karibu pm
Vipi kuhusu mtibwa mringaringa unaujua nao ni mzuri unakaribia mninga na mkongoWadau, naombeni ushauri hukusu ubora wa mbao za huu mti uitwao Mtiki katika kitengeneza milango ikilinganishwa na mninga au mkongo. Kuna mdau ananishawishi kwamba wenyewe ndio the best, ingawa majority wanapigia chapuo mninga. Ushauri please.
Mpingo je?trust me, mninga ndo mti bora wa miaka yote pia hata gharama yake si mchezo na haupatikani kila nchi, tuna bahati sisi kuwa nao, muulize fundi yoyote atakueleza, hizi mbao nyingi tunazoziona ni mipodo na sio imara