Ubora wa mchezaji mmoja mmoja Ihefu inaweza mfunga Simba

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Wapenzi wa mpira habari za muda huu, nipo hapa kupiga lamli chonganishi!

Tukienda na mchezaji mmoja mmoja, Ihefu wana wachezaji wanaojua mpira kuliko vitoto vya Simba visivyo na akili.


Leo Tshishimbi atawatesa, Mahundi atawafunga.

Mjiandae kusema mnakamiwa.
 
Hahahaaa kweli watu mmeanza dharau sasa simba kweli leo hii wachezaji wake wanapitwa na ihefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha nicheke tu
 
Hahahaaa kweli watu mmeanza dharau sasa simba kweli leo hii wachezaji wake wanapitwa na ihefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha nicheke tu
Tshishimbi na uzee wake utamlinganisha na kanoute?

Au sakho utamlinganisha na JOSEPH MAHUNDI
 

Sasa toa huo mwiko akili ikujie...wazembe hawa utopolo,ushindi kidogo wanaona kama dunia Yao..eti Kwa mchezaji mmoja mmoja,hata ingekuwa kipande kipande hatulingani,ndio maana mwaka huu mnashiriki kombe la viti maalumu ambako huwa mnashika mkia..gongowazi
 
Sio kila anaeiponda simba ni yanga think wise na utoe iyo mentality kichwani
 
Kama Ihefu ni bora kuliko Simba, ilikuwaje Ihefu mpaka sasa awe mkiani mwa msimamo wa ligi na Simba awe juu yake maradufu?.

Hata kama Simba watacheza wachezaji 9 na Ihefu wawe 12 bado atachapika kama Mandonga pale Lupaso.

Tunza comment yangu hii, ukibisha bet 100000 umpe Ihefu uamke kapuku.
 
Beti sasa unacho hofia nini wakati Tshishimbi yupo?
Sio watu wote Wana cheza michezo ya kubahatisha, yeye ameandika maoni yake.Ata Mimi ningependa Ihefu apate matokeo na Kocha wa kuwapa matokeo wanaye ila Kwasasa Ihefu kupata matokeo Kwa Mkapa wanatakiwa wapambane kwelikweli na bahati iwe upande wao.
 
Simba hashindi leo mkuu Mark my words
 
Sio watu wote Wana cheza michezo ya kubahatisja, yeye ameandika maoni yake.Ata Mimi ningependa Ihefu apate matokeo na Kocha wa kuwapa matokeo wanaye ila Kwasasa Ihefu kupata matokeo Kwa Mkapa wanatakiwa wapambane kwelikweli na bahati iwe upande wao.
Maoni yake yamejikita kwenye wishfully thinking
 
Huyo jamaa kolo mwenzako. Mfuatilie wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninachofahamu kuna baadhi mechi, simba atagawana pointi na wapinzani wake! Kwangu mimi ana uhakika wa pointi kwa Ihefu Fc tu!

Ukija kwa Namungo, Mbeya City, na Polisi Tanzania! Aisee kazi anayo. Na hasa kwa zile mechi atakazocheza ugenini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…