Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,204
- 3,277
Habari wadau wenzangu katika kilimo.
Napenda kuwapongeza A to Z kwa juhudi zao za kuinua kilimo nchini kwa uzalishaji wa bidhaa za kilimo hapa nchini.
Binafsi nimefurahiswa na hawa jamaa kwa sababu zamani tulizoea kuona vifaa vya greenhouse vikitoka China, India, Israel nk
Lakini kwa sasa vifaa hivi vinapatikana hapa nchini. kimenifurahisha ni ubora wa bidhaa zao, net na sheet zao ni OG, mimi tangu nitumie nikilinganisha na zile za kutoka nje, hizi za kuzalishwa hapa nchini ni tofauti sana, ubora uko juu
Nimeweka post hii kwa sababu watu wengi hawajui kuwa bidhaa hii sasa inazalishwa hapa nchini. Kuna namba ambayo nimekuwa nikiwasiliana nao