Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise enzi hizo ilikuwa poa sana na sold grand family unawakumbuka wazee bush party[emoji23][emoji23]Adili aka Hisabati nae alitoa moja tu ingawa alikuwa anamsaidia Prof. Jay kama back vocal kwenye concert. Adili ngoma yake ya Peke Yangu nae alikalisha sana
Pig blak ile ngoma naipenda beat mpk keshooMajani kwenye "nini mnataka mazee" ya Pig Black alipatia mpaka basi.
Pia kwenye Jirushe la Ferooz na Nipo busy la Jafffarai.Kiujumla P ameitendea haki sanaa.
Majani salute kwako brother.
Nipo bussy aisee nilikuwa nauelewa
Ck hiz kama afande sele anaropoka hovyo au ndio hivyo bangi ukipiga pafu moja miaka saba [emoji23][emoji23][emoji23]orodha inaendelea
Ile ngoma ni shida mkuu,P alijua kutengeneza beat.Pig blak ile ngoma naipenda beat mpk keshoo
Nimeicheki SoundCloud iko poa sanaOngeza ongeza track.nyingine za kina ngwair na Jay mo
Binafsi Mimi huwa napata track kwenye SoundCloud napata old hit zote za bongo
Nenda kwenye search andika bongo old hits zitakuja mix kibao za madj wakali .......pia Kuna app ya audiomack na yenyewe iko poa sanaNimeicheki SoundCloud iko poa sana
Hio hapo ya April unapata ngoma zoteNenda kwenye search andika bongo old hits zitakuja mix kibao za madj wakali .......pia Kuna app ya audiomack na yenyewe iko poa sana
Bonge moja ya ngoma halafu jamaa alikuwa na kipaji ila alitoa ngoma moja tu
Hahaha, alikua nazo zingine mbili ila haziku hit, William yuko mjini hapo ,Cna dem nilikuwa naupenda sana
Umenikumbusha mbali Sana ,Cna dem nilikuwa naupenda sana
Wille alirudi shule ,hakua serious na mzikiNa mm najiuliza kwann hakurud tena baada ya ngoma hiyo hiyo moja
sio kisa pombe ya mwasiti mpaka kesho n bonge la ngoma
Asee ,ludigo, Mario , enzi hizo studio Don BoscoHuwezi itaja Bongo Records bila hawa watu ..
Profesa Ludigo, Bizman