Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njia pekee ya kuziondoa sifa za p na kumfanya aoneke producer wa kawaida ni wewe kuanza kugonga beat zenye ubora zaidi ya zile za P alafu vile vile uwe na uwezo mkubwa wa kufanya mixing na mastering ukiyaweza hayo basi uanze kuachia mangoma yako uliyoyarekodi kisha sisi wadau ndo tu anze kujudge sasa kwamba kati yako wewe na mkali P nani zaidiNachomaanisha waliyoitengeneza ile nyimbo hakuwa yeye, ingawa sifa nyingi zimeenda kwake... Beat la ile nyimbo ya Ngwear SHE GOT A GWAN ni kombinesheni ys soggy Doggy, Mzungu Kichaa na Bizman.
Ni producer mzuri ila kazi nyingi hakufanya yeye, jina la studio ndiyo lilibeba kila kitu
Kuna wimbo wake mwingine unaitwa Njia ni kama gospel hiphop hv nautafuta sana kama unao tupia humuRado hajawah kufany kaz na majani
Shukrani mkuuBaraka Issack Naomba enjoy Mkuu,maadui wawili ndani ya nyumba moja ya Bongo Records,when music was real music,nowadays bubble gum tu na makopo!!
Ni watoto waliozaliwa 2006 ndio watakuwa wanamsifia s2kizzy ndio awamu yao ya baleheEt S2kizzy😂😂😂ni Wa kupiga kabisa hao....
majani alifanya mastering tu katika baadhi ya nyimbo ila beatmaking zilihusisha watu tofauti. Sema credit lazma apewe cause studio yake ndio ilikuwa kubwa kwa kipindi chake na aliaminika zaidiMajani Bila hivyo vichwa alikuwa si MTU ndio maana baada ya kusepa majani aliteremka ....
Ila huwa nashangaa hivyo vichwa huwa havitajwi... Kama ngomq ya She Gotta Gwan ya ngwair hakuichonga majani ni hivyo vichwa ila saluti zinaenda kwa majani..
Ngoma ya Akwelina pia
fala huyo, majani alifanya mastering ya hio ngoma ndio maana unaisikia kwa kiwango cha hali ya juu. Ni sawa tu na S2kizzy anavyojua kumake beats ila mastering hawezi so anawapelekea wanaojua ku master. Majani was both a beat maker and a master. Hivi viwili ndio vinKwa iyo una maanisha nini kwamba p funk hakuwa profucer ama labda hakuwa mkali au alikuwa hajui kabisa muziki?
fala huyo, majani alifanya mastering ya hio ngoma ndio maana unaisikia kwa kiwango cha hali ya juu. Ni sawa tu na S2kizzy anavyojua kumake beats ila mastering hawezi so anawapelekea wanaojua ku master. Majani was both a beat maker and a master. Hivi viwili ndio vinamfanya mtu aitwe producer.Kwa iyo una maanisha nini kwamba p funk hakuwa profucer ama labda hakuwa mkali au alikuwa hajui kabisa muziki?
kufanya mixing na mastering ndio production ya mziki inafanikiwa, ndio maana hata beats ambazo wali co-produce na wenzake zilitoka chini ya bongo records. ukumbuke na wasanii hao walikuwa label ya Bongo RecordsNachomaanisha waliyoitengeneza ile nyimbo hakuwa yeye, ingawa sifa nyingi zimeenda kwake... Beat la ile nyimbo ya Ngwear SHE GOT A GWAN ni kombinesheni ys soggy Doggy, Mzungu Kichaa na Bizman.
Ni producer mzuri ila kazi nyingi hakufanya yeye, jina la studio ndiyo lilibeba kila kitu
Mkuu hiyo niamini kuna remix ft jay dee..
Msaada tafadhali.
Hii ngoma ni baucha records mkuuRado wa usiulize Alipotelea wapi?
Hivi huyu jamaa alitoa nyimbo moja tu iliyotoboa baada ya happy game kama ilimkataaCna dem nilikuwa naupenda sana
Inasadikika beat ya nini mnataka mazee aliitengeneza majani akaiweka tu studio ila kila aliyekuwa akimpa akawa anapwaya ndio ikaja kumdondokea pig akaikalishaMajani kwenye "nini mnataka mazee" ya Pig Black alipatia mpaka basi.
Pia kwenye Jirushe la Ferooz na Nipo busy la Jafffarai.Kiujumla P ameitendea haki sanaa.
Majani salute kwako brother.
Hapana....kwa mujibu wa pig mwenyew, pig alitengenezewa beat nyingine kabsa kwa ajili ya wimbo wake huo. Lakin baadae akaja kuiskia hiyo beat kweny ngoma ya msanii mwngine.Inasadikika beat ya nini mnataka mazee aliitengeneza majani akaiweka tu studio ila kila aliyekuwa akimpa akawa anapwaya ndio ikaja kumdondokea pig akaikalisha
Wakuu...sifaham hata aliyeproduce huu wimbo. Ila nautafuta, Carola Kinasha-Ni Pendo. Kwenye uzi wa utafutaji nyimbo...hilo ombi halijajibiwa bado
T-touches sijawahi kumuelewa sana. Ila yule mtoto Pancho (RIP) alikuwa anajua sana!Kumekuwa na maneno ya kuhoji producer mkali all the time kwa Bongo,wapo wanaotaja taja hadi wakina T-touches na S2kizy!!
Uzi ni maalumu kwa ajili ya tracks za Bongo Records ili vijana wachanga waweze kutambua kazi za Godfather huyu mwenye misimamo.
Baadhi ya kazi za Bongo Records,wadau wengine watatuwekea pia na Mimi nikiendelea kuzipandisha kila nitakapopata fursa!!
Enjoy!
T-touches sijawahi kumuelewa sana. Ila yule mtoto Pancho (RIP) alikuwa anajua sana!