Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

Njia pekee ya kuziondoa sifa za p na kumfanya aoneke producer wa kawaida ni wewe kuanza kugonga beat zenye ubora zaidi ya zile za P alafu vile vile uwe na uwezo mkubwa wa kufanya mixing na mastering ukiyaweza hayo basi uanze kuachia mangoma yako uliyoyarekodi kisha sisi wadau ndo tu anze kujudge sasa kwamba kati yako wewe na mkali P nani zaidi
 
majani alifanya mastering tu katika baadhi ya nyimbo ila beatmaking zilihusisha watu tofauti. Sema credit lazma apewe cause studio yake ndio ilikuwa kubwa kwa kipindi chake na aliaminika zaidi
 
Kwa iyo una maanisha nini kwamba p funk hakuwa profucer ama labda hakuwa mkali au alikuwa hajui kabisa muziki?
fala huyo, majani alifanya mastering ya hio ngoma ndio maana unaisikia kwa kiwango cha hali ya juu. Ni sawa tu na S2kizzy anavyojua kumake beats ila mastering hawezi so anawapelekea wanaojua ku master. Majani was both a beat maker and a master. Hivi viwili ndio vin
 
Kwa iyo una maanisha nini kwamba p funk hakuwa profucer ama labda hakuwa mkali au alikuwa hajui kabisa muziki?
fala huyo, majani alifanya mastering ya hio ngoma ndio maana unaisikia kwa kiwango cha hali ya juu. Ni sawa tu na S2kizzy anavyojua kumake beats ila mastering hawezi so anawapelekea wanaojua ku master. Majani was both a beat maker and a master. Hivi viwili ndio vinamfanya mtu aitwe producer.
kufanya mixing na mastering ndio production ya mziki inafanikiwa, ndio maana hata beats ambazo wali co-produce na wenzake zilitoka chini ya bongo records. ukumbuke na wasanii hao walikuwa label ya Bongo Records
 
Majani kwenye "nini mnataka mazee" ya Pig Black alipatia mpaka basi.
Pia kwenye Jirushe la Ferooz na Nipo busy la Jafffarai.Kiujumla P ameitendea haki sanaa.
Majani salute kwako brother.
Inasadikika beat ya nini mnataka mazee aliitengeneza majani akaiweka tu studio ila kila aliyekuwa akimpa akawa anapwaya ndio ikaja kumdondokea pig akaikalisha
 
Wakuu...sifaham hata aliyeproduce huu wimbo. Ila nautafuta, Carola Kinasha-Ni Pendo. Kwenye uzi wa utafutaji nyimbo...hilo ombi halijajibiwa bado
 
Inasadikika beat ya nini mnataka mazee aliitengeneza majani akaiweka tu studio ila kila aliyekuwa akimpa akawa anapwaya ndio ikaja kumdondokea pig akaikalisha
Hapana....kwa mujibu wa pig mwenyew, pig alitengenezewa beat nyingine kabsa kwa ajili ya wimbo wake huo. Lakin baadae akaja kuiskia hiyo beat kweny ngoma ya msanii mwngine.
Akatoka amepanic kwenda kumuuliza majani imekuaje beat yake kapewa artist mwengine. Majani akampliz na kumpikia beat nyingine ambayo ndio hiyo ya nini mnataka mazee.
 
T-touches sijawahi kumuelewa sana. Ila yule mtoto Pancho (RIP) alikuwa anajua sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…