Ubora wa Samatta upo kwenye kujieleza tu

wengi wenu mnapoangalia mpira mnaangalia matokeo nyinyi ndio mnajifanya wajuaji kuliko hata makocha hivi umeshajiuliza kwanini kila mechi samatta anakuwa na walinzi zaidi ya mmoja na wachezaji wengine wanatumiaje nafasi ya samatta kukabwa na walinzi wengi kufunga.Timu yenu imeshafunga magoli mangapi, wachezaji hata kupiga pasi kunawashinda wakipata mpira ndio wanafikiria wapeleke wapi halafu mnakuja na sababu zisizo na kichwa wala miguu kuwa tatizo ni Samatta. Kuna michezo mingi ya kuangalia kama mpira umewashinda hamieni kwenye netball
 

Nakuuliza swali wewe upo chuo kikuu mkapewa swali mfanye wewe ukapewa wasaidizi usaidiane nao ambao ni watoto wa shule ya msingi

Mwingine akapewa swali hilo hilo ila wasaidizi wake ni wanachuo wenzio unadhani ni nani ana possibility kufanya vizuri kwenye hilo swali?

N.B kifupi Samatta ni bora ila wachezaji wanaomzunguka Taifa Stars si bora kama wale wachezaji waliokuwa wanamzunguka Samatta akiwa TP mazembe au kwa sasa Genk

Tusiwe wepesi kuhukumu nchi haina mipango ya kukuza soka kwanza ningekuwa mi Samatta ningestaafu tu nile zangu bata
 
Timu ya taifa Msuva na Faridi Mussa tu kwa wachezaji wa nje ndo wanatuoffer angalau kitu ila hizi panya nyingine pumbafu kabisa
 
Wewe acha upoyoyo anayejuwa thamani ya samata ni live pool na genk, Kama vp wapeleke kina kaseja wakacheze pale hamfild
 
Narudia tena mchezo pekee ambao mtu anajitoa kwa nchi yake kufikia hatua ya kupata jeraha ni Riadha,mwanariadha akiumia mashindanoni yeye ,familia na nchi yake ni hasara,kwa footbal tofauti Samatha akiumia yeye na Genk yake hasara sisi watanzania tutampa pole maisha yataendelea ,binadamu wanataka kuona samata akicheza mpaka apate majeraha ndio waone kacheza vizuri ,nachomsifu anajitambua endeleeni kupiga kelele atacheza anavyoweza sio mnavyotaka carrier kwanza mengine badae.mara ya mwisho alipotoka Stars alifikia kwenye Scan ikaonyesha kapata injury ikatibiwa faster akakosa gemu moja maisha yakaendelea .
 
Yupo kwenye kapu moja na waliyooza, kwa hiyo na yeye pia ataonekana kaoza...


Cc: mahondaw
 
Hebu tuache upumb*vu , we atumie miguvu mingi akiumia mtamtibu nyie? Mnataka aumie apoteze ugali wake Genk ??? Pumb*v sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…