Ubora wa Simba sio udhaifu wa Wydad

Kabisa,na amechamgia kwa kiasi kikubwa kuwatoa mchezoni wachezaji wa simba kiasi kwamba wakawa wanaogopa kucheza mpira hata kukaba.Kuna ka upendeleo flani alikuwa nako kwa kuwaogopa wamorocco
Tunapaswa kuzoea hivi vitu kwa soka la africa hasa unapocheza na timu iliyo stable financilly kuliko wewe kwenye marefa na mashirikisho njaa ya nchi za dunia ya tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…