Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapaswa kuzoea hivi vitu kwa soka la africa hasa unapocheza na timu iliyo stable financilly kuliko wewe kwenye marefa na mashirikisho njaa ya nchi za dunia ya tatuKabisa,na amechamgia kwa kiasi kikubwa kuwatoa mchezoni wachezaji wa simba kiasi kwamba wakawa wanaogopa kucheza mpira hata kukaba.Kuna ka upendeleo flani alikuwa nako kwa kuwaogopa wamorocco
Muda Fulani unaona kabisa ref anachezesha lakini kama ana pressure mechi ilikuwa nzito vibaya.Ifike mahali caf wajue ukubwa wa klabu zetu wasikariri
Simba walienda kuzuia tu...no shot on target!Umeangalia mpira mkuu
Uongo zambiKuna Muda refa alitaka kuharibu mchezo na pia naweza kusema refa kiasi Fulani imezingua Alie ona ameona na ata Kiri hapa.kama nasema uongo...
Kwa nini tukiri kimoyomoyo wakari kiuhalisia mmetolewa ktk hatua ya MTOANOThere you are,wengi wanakiri kimoyomoyo tu
Haswaaaaah!!!Another season yes ila kwenye mpira BAHATI ni muhimu pia
Teh teh 😂😂 ukweli wanaujua....japo ni wachache wataukiri.Hata ushangiliaji wa majirani sio ule tuliouzoea kabisa.