toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,309
- 2,577
Kwanza hongera simba.
It was giant against giant na kila shabiki wa mpira ameelewa hilo.
Underdog? Kwangu hapana hata Wydad walijua game hii ina maturity test na majukwaa ya mashabik wao yamethibitisha hilo.
Kuna mashabik wa mpira wanasema atakayekutana na wydad atajipigia.Big no. Ubora wa simba ndo umefanya wydad ionekane dhaifu kwa sababu tu hawakupata matokeo ambayo mashabiki waliingia nayo uwanjani.
Simba leo walikuwa na kitu kinaitwa strong mentality against strong oponent na hii huipati kwa underdog oponent.
Wydad atashangaza wengi na huenda mechi ya mwisho ya nusu fainali itaifanya dunia kuwapa simba heshima waliyonyimwa leo
Strong and dedicated team. Mechi imeamuliwa zaid na makocha kuliko wachezaji kimbinu. One against one wydad walikuwa mbali kiasi chake kutoka ilipo simba.Ila bench la ufundi la simba walijua kuandaa kikosi kwa mechi maalumu.
Asante simba huna deni kwetu kwa msimu huu