Akikujib nitagKumbe unajitekenya mwenyewe!
Mimi mnyama bro!Nakuapia, yanga mtazimia tar 13
Uto ni uto tu yaani hakuna mandezi kama nyieKibonde kabeba makombe ma3, MBUMBUMBU 0 [emoji16]
Vipers wangejipima nq Simba nacsio Uto!Vipers ilionekana bora kwa ukibonde wa Yanga
nyie mngecheza na St. George mngesema hawa sawa kwanza wametuzidi viwango vy Caf!.... bahati mbaya mmefungwa na team ambayo mmeizidi viwango Caf.... aibu!Naangali hii mechi, nauona ubora wa Simba unatokana na hawa waithiopia kuwa wabovu.
Timu inatembelea jina tu siyo bora kama ile tunayoifahamu.
Simba ni ileile iyopita haina jipya
😂😂😂Vipers ilionekana bora kwa ukibonde wa Yanga
Kolo jibu hoja matusi waachie wazazi wakounatazama mpira au ni hisia na ujinga wako? Maana St. wanacheza vizuri
Jibu hoja,leo maneno yamewakaukaAkikujib nitag
kona hoja gani hapo, ushabiki upo ila sometimes ficheni upunguani wenu.Kolo jibu hoja matusi waachie wazazi wako
Hata ubora wa Vipers ulitokana na ubovu wa Utopolo.Naangali hii mechi, nauona ubora wa Simba unatokana na hawa waithiopia kuwa wabovu.
Timu inatembelea jina tu siyo bora kama ile tunayoifahamu.
Simba ni ileile iyopita haina jipya
next Yanga 0- Simba 2Yanga 9–0 friends rangers
Yanga 5–1 transit camp
Yanga 2–0 namungo
Yanga 0–2 vipers
Mlipigwa sec ya 36, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibonde kabeba makombe ma3, MBUMBUMBU 0 [emoji16]
Soma hapa chini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha-haTangu lini Waethiopia wakajajua mpira,wao ni riadha tu
Huu ndo ushabiki wa kitanzania ninaoujua.Naangali hii mechi, nauona ubora wa Simba unatokana na hawa waithiopia kuwa wabovu.
Timu inatembelea jina tu siyo bora kama ile tunayoifahamu.
Simba ni ileile iyopita haina jipya