Ubora wa Simba unaonekana kwa St. George kuwa wabovu

Ubora wa Simba unaonekana kwa St. George kuwa wabovu

Naangali hii mechi, nauona ubora wa Simba unatokana na hawa waithiopia kuwa wabovu.

Timu inatembelea jina tu siyo bora kama ile tunayoifahamu.

Simba ni ileile iyopita haina jipya
nyie mngecheza na St. George mngesema hawa sawa kwanza wametuzidi viwango vy Caf!.... bahati mbaya mmefungwa na team ambayo mmeizidi viwango Caf.... aibu!
 
Naangali hii mechi, nauona ubora wa Simba unatokana na hawa waithiopia kuwa wabovu.

Timu inatembelea jina tu siyo bora kama ile tunayoifahamu.

Simba ni ileile iyopita haina jipya
Hata ubora wa Vipers ulitokana na ubovu wa Utopolo.
 
Tangu lini Waethiopia wakajajua mpira,wao ni riadha tu
Soma hapa chini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha-ha
JamiiForums700647543.jpg
 
Vipers walishindilia miko miwili nyuma akili zote zimepotea hahahahah.

Kipimo cha ubora wa yanga ni kuifunga simba na this time labda nabi asiweke yule bwana puli(jezi namba 3) otherwise miko mingine miwili lazima iwekwe nyuma.
 
Hatukatai simba ni mbovu ila yanga ni kinyesi kabisa..baba uwanja wenu,mashabiki wenu,sherehe yenu!!!afu wanawalala mbili kimya plus mpira mkubwa sanaaaaaaaa...
 
Naangali hii mechi, nauona ubora wa Simba unatokana na hawa waithiopia kuwa wabovu.

Timu inatembelea jina tu siyo bora kama ile tunayoifahamu.

Simba ni ileile iyopita haina jipya
Huu ndo ushabiki wa kitanzania ninaoujua.
Mna safari ndefu sana.
 
uzeeni laama uwe mchawi wewe kama sio tayari. Maana sio kwa roho hyo😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom