mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ila fresh ndo ushabiki wa mpira.
Hata Mimi siwezi kuisema vizuri utopolo hata Kama wangewafunga vipers.
Tunajua hakuna shabiki wa Simba au utopolo anayemuombea mwenzie mema.