Ubora wa simu za mkopo

Ubora wa simu za mkopo

Mfano samsung A04e cash ni 280,000
mkopo ni 8100 kwa wiki kwa wiki 52.
Kianzio ni 75,000.

Ukipiga mahesabu unakuta umelipia zaidi au 491,000 hadi umalize.
Duh..
Na ukichelewa kuwasilisha rejesho haifunguki😁
 
Back
Top Bottom