Subiri inyeshe....Habari za mda huu wanamichezo
Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil
Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana
Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo
Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura
Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
Wapo busy na na mikataba jioni ya leo hutasikia tena habari za Sportpesa
Hadi muda huu wewe ni Aziza TigoMkishinda simba leo niite Aziza mtamu
Mawakili uchwaraKina nani sasa wapo busy nahiyo mikataba?
Unazingua Aziza mtamu.Sawq ashura
Ngoja nikuquote kabisa usijekuifutaMkishinda simba leo niite Aziza mtamu