Ubora wa Singida Big Stars utaiaibisha Simba SC kwa Mkapa

Ubora wa Singida Big Stars utaiaibisha Simba SC kwa Mkapa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Habari za mda huu wanamichezo

Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil

Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana

Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo

Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura

Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
 
Subiri inyeshe....
Acha maneneno mingi chalii...

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mwananchi ila mnyama anashinda moja bila.
 
Mangalo muulize alivyokuw kak sikosei biashara chama alimfanya nini, kumbuka simba keo kiburi ipo ya kutosha maan no injury kiungo punda katikati ,saido ndan,sakho mzee wa kuwapunguz ndan ,mbel watachagua wnyw wanamtak nan na nan leo had hyoo kazadi atakaba nakwambia
 
Kwa kikosi chenye wachezaji wenye vipaji na ubora Singida ipo vizuri ila itaangushwa na uwepo wa kocha mwenye mbinu zilizopitwa na wakati. Plujim sidhani kama anaweza kuifanya Singida ipate ushindi leo mbele ya Simba
 
Ngoma ya kitoto huwa haikeshi, subiri muda ufike mrudi singapore kukamua alizeti
 
Katika watu wanajua mpira mtoa mada nawewe upo..
kiufupi hata mimi nasubiri kuona hizo battle mfano
Kagoma vs Kanoute
Hapa kagoma anaonekana yupo form ile mbaya toka mechi za mapinduzi jamaa anakiwasha.
Bruno vs chama
Hawa haina haja ya kuwaelezea sana maana mmoja ametoka kuchukua uchezaji bora
 
Back
Top Bottom