Kwamba mwenyeji ana shinda ama kutoa sare.1:1 au 2:1 utabiri hautoke nje ya hapo
Tupo hapa🤣🤣🤣Mkishinda simba leo niite Aziza mtamu
Yap japo nimeegemea kwenye magoli sababu nilikuwaga nabeti sana zaman kiufupi hii mechi haina magoli mengi sababu ni hiziKwamba mwenyeji ana shinda ama kutoa sare.
Duh! kumbeHabari za mda huu wanamichezo
Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil
Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana
Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo
Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura
Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
simba ushindi lazimaMimi ni mwananchi ila mnyama anashinda moja bila.
Ungekuwa demu kila mwaka ungezaa mtoto. Una kiherehere sana.Habari za mda huu wanamichezo
Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil
Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana
Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo
Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura
Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
Unataka kuniambia kuwa leo Mbrazil anabadilisha approach kwa mara ya kwanza na kuifanya Simba uupige mpira mwingi?Yap japo nimeegemea kwenye magoli sababu nilikuwaga nabeti sana zaman kiufupi hii mechi haina magoli mengi sababu ni hizi
singida watategemea mipira ya counter attack huku simba wakicheza ball posession ili kujilinda.
pia kutokana na ufinyu wa wa winger walio nao singida itawalazimu wafosi kupita katikati jambo ambalo litapelekea hii mechi kutokuwa na magoli mengi kutokana na vikosi vyao.
Bora Simba angehudhuria kombe la shirikisho ila sio ligi ya mabingwa, huu msimu tutaona aibu nzito.Anakuwa MJINGA kama yule mwenye kamati ya Simba.
Unamuacha
Wawa.... Unasajili.....Ottara hizi ni Akili kweli.
Unamuacha Mugalu Unaleta Dejan.
Unamuacha Semonza Unaleta sawadogo.
AKILI.
Kwa umri wa Saido kutamba ni fedheha kwa timu pinzani, kwa umri wake angekuwa ni beki tusingeshangaa saana.Mangalo muulize alivyokuw kak sikosei biashara chama alimfanya nini, kumbuka simba keo kiburi ipo ya kutosha maan no injury kiungo punda katikati ,saido ndan,sakho mzee wa kuwapunguz ndan ,mbel watachagua wnyw wanamtak nan na nan leo had hyoo kazadi atakaba nakwambia
Simba isiingize wazee wengi leo. Singida wakija na hali ya kufosi kupata matokeo, watayapata. Waje na 4-5-1, aivuruge simba pale kati.Katika watu wanajua mpira mtoa mada nawewe upo..
kiufupi hata mimi nasubiri kuona hizo battle mfano
Kagoma vs Kanoute
Hapa kagoma anaonekana yupo form ile mbaya toka mechi za mapinduzi jamaa anakiwasha.
Bruno vs chama
Hawa haina haja ya kuwaelezea sana maana mmoja ametoka kuchukua uchezaji bora
Noo mkuu, Singida watakaba saana kati hii game sababu Simba ndipo ushindi wake unapopatikana. Simba leo hawawezi kusema Saido awape matokeo sababu Singida wanajielewa, Saido ni mzuri kwa timu ambayo ni ya kawaida.Yap japo nimeegemea kwenye magoli sababu nilikuwaga nabeti sana zaman kiufupi hii mechi haina magoli mengi sababu ni hizi
singida watategemea mipira ya counter attack huku simba wakicheza ball posession ili kujilinda.
pia kutokana na ufinyu wa wa winger walio nao singida itawalazimu wafosi kupita katikati jambo ambalo litapelekea hii mechi kutokuwa na magoli mengi kutokana na vikosi vyao.
Pale liti walipaki basi mwishoniWanacheza kwa uwezo wao tu na nyie wakazieni kama mna Quality
Nimeangalia msimamo wa ligi then nikachek vikosi vya vyote vya timu mbili bila kusahau mpira wanaocheza hii game magoli ni under 3 or 2Apo uko wrong kidogo
Umewaangalia vizuru singida now days?
Kagoma na Kelvin nashon + ndemla wamewapa balance kubwa wana posses sana
Refer mechi na team yangu AZAM waliupiga mno
Pole mkuu😂😂🤣🤣Umemiliza kunichamba?
Mi sipigi ramli mkuu.Ambae ni simba FC