Ubora wa Singida Big Stars utaiaibisha Simba SC kwa Mkapa

Ubora wa Singida Big Stars utaiaibisha Simba SC kwa Mkapa

Kwamba mwenyeji ana shinda ama kutoa sare.
Yap japo nimeegemea kwenye magoli sababu nilikuwaga nabeti sana zaman kiufupi hii mechi haina magoli mengi sababu ni hizi
singida watategemea mipira ya counter attack huku simba wakicheza ball posession ili kujilinda.
pia kutokana na ufinyu wa wa winger walio nao singida itawalazimu wafosi kupita katikati jambo ambalo litapelekea hii mechi kutokuwa na magoli mengi kutokana na vikosi vyao.
 
Habari za mda huu wanamichezo

Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil

Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana

Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo

Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura

Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
Duh! kumbe
 
Ungekuwa demu kila mwaka ungezaa mtoto. Una kiherehere sana.

Mpira hauchezwi mdomoni. Mpira wa mdomoni mwachieni Ashura cheupe aka Mana raa
 
Yap japo nimeegemea kwenye magoli sababu nilikuwaga nabeti sana zaman kiufupi hii mechi haina magoli mengi sababu ni hizi
singida watategemea mipira ya counter attack huku simba wakicheza ball posession ili kujilinda.
pia kutokana na ufinyu wa wa winger walio nao singida itawalazimu wafosi kupita katikati jambo ambalo litapelekea hii mechi kutokuwa na magoli mengi kutokana na vikosi vyao.
Unataka kuniambia kuwa leo Mbrazil anabadilisha approach kwa mara ya kwanza na kuifanya Simba uupige mpira mwingi?
 
Vipi, mmeshawaambia shemeji zenu watukazie sio[emoji3][emoji3]
 
Anakuwa MJINGA kama yule mwenye kamati ya Simba.

Unamuacha

Wawa.... Unasajili.....Ottara hizi ni Akili kweli.

Unamuacha Mugalu Unaleta Dejan.

Unamuacha Semonza Unaleta sawadogo.

AKILI.
Bora Simba angehudhuria kombe la shirikisho ila sio ligi ya mabingwa, huu msimu tutaona aibu nzito.
 
Mangalo muulize alivyokuw kak sikosei biashara chama alimfanya nini, kumbuka simba keo kiburi ipo ya kutosha maan no injury kiungo punda katikati ,saido ndan,sakho mzee wa kuwapunguz ndan ,mbel watachagua wnyw wanamtak nan na nan leo had hyoo kazadi atakaba nakwambia
Kwa umri wa Saido kutamba ni fedheha kwa timu pinzani, kwa umri wake angekuwa ni beki tusingeshangaa saana.

Saido anawika kwa kipindi tu, nina uhakika msimu ujao hatokuwepo simba. Ni suala la muda tu.
 
Katika watu wanajua mpira mtoa mada nawewe upo..
kiufupi hata mimi nasubiri kuona hizo battle mfano
Kagoma vs Kanoute
Hapa kagoma anaonekana yupo form ile mbaya toka mechi za mapinduzi jamaa anakiwasha.
Bruno vs chama
Hawa haina haja ya kuwaelezea sana maana mmoja ametoka kuchukua uchezaji bora
Simba isiingize wazee wengi leo. Singida wakija na hali ya kufosi kupata matokeo, watayapata. Waje na 4-5-1, aivuruge simba pale kati.
 
Yap japo nimeegemea kwenye magoli sababu nilikuwaga nabeti sana zaman kiufupi hii mechi haina magoli mengi sababu ni hizi
singida watategemea mipira ya counter attack huku simba wakicheza ball posession ili kujilinda.
pia kutokana na ufinyu wa wa winger walio nao singida itawalazimu wafosi kupita katikati jambo ambalo litapelekea hii mechi kutokuwa na magoli mengi kutokana na vikosi vyao.
Noo mkuu, Singida watakaba saana kati hii game sababu Simba ndipo ushindi wake unapopatikana. Simba leo hawawezi kusema Saido awape matokeo sababu Singida wanajielewa, Saido ni mzuri kwa timu ambayo ni ya kawaida.

Saido na Chama leo sio rahisi kufurukuta endapo pale kati kukawa na wakabaji wawili. Singida itatumia wings zaidi sababu pale kati simba hayupo vibaya sana kwa kikosi alichonacho.
 
Apo uko wrong kidogo

Umewaangalia vizuru singida now days?

Kagoma na Kelvin nashon + ndemla wamewapa balance kubwa wana posses sana

Refer mechi na team yangu AZAM waliupiga mno
Nimeangalia msimamo wa ligi then nikachek vikosi vya vyote vya timu mbili bila kusahau mpira wanaocheza hii game magoli ni under 3 or 2
 
Sawa simba hawako vizuri ila kuwadharau na wapo kwa mkapa hapo ndio tunakosea, tujiulize mara ya mwisho team toka mkoani na ikaifunga simba hapo kwa mkapa ni lini?. Mpe simba 1X.

Tukaze buti tu sisi ndio tuka mbonde simba, sio kuwatupia mzigo hao wabovu.
 
Back
Top Bottom