Wanaume tunazidi kupungua kwa kasi ya 5GMkishinda simba leo niite Aziza mtamu
Mambo my [emoji23]Mkishinda simba leo niite Aziza mtamu
Aziza Mtamu hujamboMkishinda simba leo niite Aziza mtamu
Hilo ni punga. Siku hizi imekuwa mingi sana mi nilishaiambia ikijaribu kukatiza mbele yangu ni mitama tu kuitengua kiuno mimbwa hiii....Chizi Maarifa ana wanyosha Sana huku watu kama kawa usikute punga ili
HII TABIA YANGA KWETU IMEKOMAA SANA MAANA TUNAPENDA KUWA TUNAITWA MAJINA YA KIKE. TOKA KABWILI ATUCHAFUE TUMEONEKANA SANA KUPENDA KUWA MAPUNGA....MARA SIJUI NNAI MA UTI, WEWE UNATAKA UITWE ASHURA MTAMU.... UNATANGAZA BIASHARA?Habari za mda huu wanamichezo
Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil
Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana
Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo
Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura
Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
Sawa boss
Bibie aziza una zigo sana.Mkishinda simba leo niite Aziza mtamu
@Moderator mbadilishie jina huyu member awe Aziza mtamuMkishinda simba leo niite Aziza mtamu
Mh mkuu kwa lile boli lililipigwa estadio de Benjamin Mkapa acha kabisaa yaan gomez sawa na kibu D au kyomboHabari za mda huu wanamichezo
Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil
Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana
Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo
Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura
Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
aziza mautamuuu njoo ukalieMkishinda simba leo niite Aziza mtam
Mkishinda simba leo niite Aziza mtamu
Aziza mtamuuuMkishinda simba leo niite Aziza mtamu
Yule ni player wa maana, msiojua mpira hamuwezi kuliona hilo.Sawadogo ni kituko cha taifa
Mpira uliujua lini?Yap japo nimeegemea kwenye magoli sababu nilikuwaga nabeti sana zaman kiufupi hii mechi haina magoli mengi sababu ni hizi
singida watategemea mipira ya counter attack huku simba wakicheza ball posession ili kujilinda.
pia kutokana na ufinyu wa wa winger walio nao singida itawalazimu wafosi kupita katikati jambo ambalo litapelekea hii mechi kutokuwa na magoli mengi kutokana na vikosi vyao.
Saidoo na Chama hawawezi kufanya nini?Noo mkuu, Singida watakaba saana kati hii game sababu Simba ndipo ushindi wake unapopatikana. Simba leo hawawezi kusema Saido awape matokeo sababu Singida wanajielewa, Saido ni mzuri kwa timu ambayo ni ya kawaida.
Saido na Chama leo sio rahisi kufurukuta endapo pale kati kukawa na wakabaji wawili. Singida itatumia wings zaidi sababu pale kati simba hayupo vibaya sana kwa kikosi alichonacho.
Sawa Aziza ulie barikiwa utamuMkishinda simba leo niite Aziza mtamu
AzizaMkishinda simba leo niite Aziza mtamu