Ubora wa Singida Big Stars utaiaibisha Simba SC kwa Mkapa

Ubora wa Singida Big Stars utaiaibisha Simba SC kwa Mkapa

Habari za mda huu wanamichezo

Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil

Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana

Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo

Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura

Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
HII TABIA YANGA KWETU IMEKOMAA SANA MAANA TUNAPENDA KUWA TUNAITWA MAJINA YA KIKE. TOKA KABWILI ATUCHAFUE TUMEONEKANA SANA KUPENDA KUWA MAPUNGA....MARA SIJUI NNAI MA UTI, WEWE UNATAKA UITWE ASHURA MTAMU.... UNATANGAZA BIASHARA?
 
Habari za mda huu wanamichezo

Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil

Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana

Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo

Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura

Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
Mh mkuu kwa lile boli lililipigwa estadio de Benjamin Mkapa acha kabisaa yaan gomez sawa na kibu D au kyombo
 
Yap japo nimeegemea kwenye magoli sababu nilikuwaga nabeti sana zaman kiufupi hii mechi haina magoli mengi sababu ni hizi
singida watategemea mipira ya counter attack huku simba wakicheza ball posession ili kujilinda.
pia kutokana na ufinyu wa wa winger walio nao singida itawalazimu wafosi kupita katikati jambo ambalo litapelekea hii mechi kutokuwa na magoli mengi kutokana na vikosi vyao.
Mpira uliujua lini?
 
Noo mkuu, Singida watakaba saana kati hii game sababu Simba ndipo ushindi wake unapopatikana. Simba leo hawawezi kusema Saido awape matokeo sababu Singida wanajielewa, Saido ni mzuri kwa timu ambayo ni ya kawaida.

Saido na Chama leo sio rahisi kufurukuta endapo pale kati kukawa na wakabaji wawili. Singida itatumia wings zaidi sababu pale kati simba hayupo vibaya sana kwa kikosi alichonacho.
Saidoo na Chama hawawezi kufanya nini?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom