Ubora wa Singida Big Stars utaiaibisha Simba SC kwa Mkapa

Ubora wa Singida Big Stars utaiaibisha Simba SC kwa Mkapa

Habari za mda huu wanamichezo

Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil

Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana

Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo

Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura

Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
Hebu rudia tena huu Utopolo wako
 
Hivi mbona mnapenda majina ya kike?Mnaficha nini?Manara alisema aitwe Ashura Cheupe,Ali Kamwe nae alidai aitwe Ashura,Saido akifikisha magoli matano?
Mna biashara gani nyie?
Wanapenda mambo ya ukabwili hawa watu wa yanga
 
Back
Top Bottom