Ubora wa Suzuki Grand vitara

Ubora wa Suzuki Grand vitara

Sikushauri kama una hela ya mawazo..... BINAFSI nilipata experience mbaya sana. Spare parts bei ghali, kila siku ugonjwa mpya huko chini linagonga gonga... mafuta ni kama jini mahaba... nilijuta na kuishia kuuza kwa bei ya hasara sana...
Nakushauri jaribu vanguard.. ni much better.
Gari ya 2000CC inakuaje jini mla mafuta au ulinunua ya 2700CC ? Au na wewe ndo wale wanapenda weka mafuta ya 10,000 halafu atoke Bunju hadi Posta kwenda na kurudi?
 
Sikushauri kama una hela ya mawazo..... BINAFSI nilipata experience mbaya sana. Spare parts bei ghali, kila siku ugonjwa mpya huko chini linagonga gonga... mafuta ni kama jini mahaba... nilijuta na kuishia kuuza kwa bei ya hasara sana...
Nakushauri jaribu vanguard.. ni much better.
I bet hujawahi kumiliki hata baiskeli
 
akili ya kwaida tu vanguard ni cc2400 engine yake sawa na rav 4 au alphard huwezi fananisha na cc1990 ya suzuki hiyo hiyo inakula sawa na noah au rav4 old model pia suzuki ni gari zinazosifika kwa consumption
Wenzangu mnapimaje ulaji wa mafuta?
 
akili ya kwaida tu vanguard ni cc2400 engine yake sawa na rav 4 au alphard huwezi fananisha na cc1990 ya suzuki hiyo hiyo inakula sawa na noah au rav4 old model pia suzuki ni gari zinazosifika kwa consumption
Suzuki huwa zinakuwaga na fuel consumption nzuri,sasa sijajua kwann muhusika amefikia hiyo conclusion-Anyway
 
Sikushauri kama una hela ya mawazo..... BINAFSI nilipata experience mbaya sana. Spare parts bei ghali, kila siku ugonjwa mpya huko chini linagonga gonga... mafuta ni kama jini mahaba... nilijuta na kuishia kuuza kwa bei ya hasara sana...
Nakushauri jaribu vanguard.. ni much better.
hahahahaha Likawa zaidi ya buzi
 
Sikushauri kama una hela ya mawazo..... BINAFSI nilipata experience mbaya sana. Spare parts bei ghali, kila siku ugonjwa mpya huko chini linagonga gonga... mafuta ni kama jini mahaba... nilijuta na kuishia kuuza kwa bei ya hasara sana...
Nakushauri jaribu vanguard.. ni much better.
Pole,

Hii inategemeana sana, hali ya ubora wa gari yako tokea umeagiza/imeagizwa. Haimaanishi gari zote ziko hivyo.

Ni sawa na kupata experience mbaya kwenye ndoa ama mahusiano, ukamkatisha tamaa mdau mpya anaehitaji kuingia huko.

Ukasahau, kwamba ile kwamba wako ni wa hivyo, basi haina maana wote watakua hivyo.
 
Binafsi hii gari nina favourable views nalo sana.
 
Sio pekee John,

Asilimia kubwa ya watu, inabaki kuwa ni gari bora na pendekezwa la muda wote.
Na nilichogundua moja ya sababu ya kwann haipo sana kwenye soko la Tanzania nikagundua ni bei yake-Kupata inayoeleweka in terms of grade, most of the time si chini ya 30M
 
Lin
Hahahaha nilijibebea la 2010 halili Mafuta kama mdau anavyodai....ila ndo hivyo naonekana kama mdingi mstaaf
I
Hahahaha nilijibebea la 2010 halili Mafuta kama mdau anavyodai....ila ndo hivyo naonekana kama mdingi mstaafu
inakulaje mafuta kwa experience yako huyu mdau inaonekan hajawah kua na gari data zake zipo off tupe experience yako per litre ,km ngap?
 
Back
Top Bottom