Ubora wa vilabu vyetu baada kurudi udhamini wa Vodacom

Ubora wa vilabu vyetu baada kurudi udhamini wa Vodacom

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Mwaka jana ligi yetu ilichezwa bila ya mdhamini mkuu (Main sponsor). Vila vililalamika sn kwamba kufanya kwao vibaya kulichangiwa na hali ngumu ya kifedha.

Mungu si Athumani msimu huu Vodacom wamerudi. Lakini binafisi naona kiwango kimezidi kuporomoka tofauti kabsa na ilivyokua mwaka jana. Hakuna ushindani km tuliouona msimu uliopita. Ubora wa wachezaji mmoja mmoja haupo. Magoli km ya Ajibu,Fei toto,Niyonzima bado sjayaona. Timu km Lipuli, Kmc, Azam,Mtibwa viwango vyao vimeporomoka sn.

Hapo ndipo ninapojiuliza je tatzo la mpira wetu ni pesa au kuna mengine nyuma ya pazia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom