ubora wa chuo huangaliwa kwa mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na miundo mbinu kama lecture rooms,laboratories,availabilities of teaching/learning materials,perfomance za wanafunzi ktk labour market,consultances,publishings,researches,presentations of papers and many more of the related.Kwa maoni yangu, kama wanafunzi wana-disco ktk course,basi upimaji uangaliwe ktk level ya aliyefundisha hiyo course na waliofundishwa. Aidha aliyefundisha ndo mbovu ama waliofundishwa ndo wabovu. Hilo liangaliwe ktk level hiyo kabla ya kuki-judge chuo kwa ujumla wake. Ieleweke kuwa ku-disco ni element ya ubovu na wala si ubora.