Ubora wa vyuo vyetu

Ubora wa vyuo vyetu

economista

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
291
Reaction score
247
Jamani hivi ubora wa chuo unapimwa kwa wanafunzi wengi kudisco au kwa wanafunzi wengi kufanya vizuri? Kama ubora wa chuo ni matokeo ya wanafunzi wengi kudisco then inakuwaje shule za sekondari huwa tunapima ubora wake kwa kuangalia idadi ya wanafunzi waliofanya vizuri lakini inapokuja kwenye kwenye vyuo utakuta watu wakiona chuo kimefelisha wanafunzi wengi ndio hicho chuo huonekana ni bora.
Naomba mtazamo wako pia
 
ubora wa chuo huangaliwa kwa mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na miundo mbinu kama lecture rooms,laboratories,availabilities of teaching/learning materials,perfomance za wanafunzi ktk labour market,consultances,publishings,researches,presentations of papers and many more of the related.Kwa maoni yangu, kama wanafunzi wana-disco ktk course,basi upimaji uangaliwe ktk level ya aliyefundisha hiyo course na waliofundishwa. Aidha aliyefundisha ndo mbovu ama waliofundishwa ndo wabovu. Hilo liangaliwe ktk level hiyo kabla ya kuki-judge chuo kwa ujumla wake. Ieleweke kuwa ku-disco ni element ya ubovu na wala si ubora.
 
Nimekuelewa sana mr econ
 
Mimi kuna mshkaji nlimuliza alinambia ubira Wa chuo unatokana na project wanazofanya wanafunzi
 
Back
Top Bottom