Ubora wa vyuo

Nguza junior

Member
Joined
May 12, 2013
Posts
28
Reaction score
2
Inakuwaje vyuo ni vingi sana ila vinavyokubalika hadi mtu kupata kazi ni vichache
 
ni changamoto kwa nchi yetu,kwani vingi havina viwango vinavyohitajika bali vinaongeza idadi tu!
 
Ebu vitaje hvo vinavokubalika na visivokubalika.
 
chuo cha urekebishaji isanga, karanga ,butimba na ukonga hivi naona ni vyuo bomba
 
Nchi yetu inashindwa kuboresha vyuo vyote kuwa na kiwango sana.... Mfano vyuo kama kampala university ambacho hadi masters degree yake imefungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…