Ubora wa Yondo Sister katika muziki wake!

Ndio nani huyo mwanamama Ila nasikia nyimbo zake tu
 
Nyimbo nyingi za yondo ni za kucheza na zimechangamka, tofauti na Monica seka au hao wengine
 
Siku zinaenda sana Soukous Stars - Rosy eheee Rosy nakumbuka sana miaka ya 80's-90's kwenye komunio na kipaimara!!!
 
Mkuu madi ni jina la wimbo album inaitwa SCANDALE
Hizi ni baadhi ya nyimbo zilizo kwenye hiyo album
1 Madi
2Jo
3 Africa
4 Dernier minute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…