Ubora wa Yondo Sister katika muziki wake!

Ubora wa Yondo Sister katika muziki wake!

Ndio nani huyo mwanamama Ila nasikia nyimbo zake tu
 
Nyimbo nyingi za yondo ni za kucheza na zimechangamka, tofauti na Monica seka au hao wengine
 
Siku zinaenda sana Soukous Stars - Rosy eheee Rosy nakumbuka sana miaka ya 80's-90's kwenye komunio na kipaimara!!!
 
Achana kabisa na huyo Mama, Albam zake kama Mbuta Mutu, Mandi, hafu ile aliyoimba na Shimita, Sala Dini, Lokasa Yambongo, Bokilo, Balou Kanta nk katika kundi la Soukous Stars balaa, Yondo Baby mwana mama huwa sichoki kuangalia nyimbo zake@blue bahari,
Mkuu madi ni jina la wimbo album inaitwa SCANDALE
Hizi ni baadhi ya nyimbo zilizo kwenye hiyo album
1 Madi
2Jo
3 Africa
4 Dernier minute
 
Back
Top Bottom